Ishu sio kukata utepe ishu ni past yake. Mkuu embu kuwa mkweli utakubali ukiona kaka ako, mdogo ako au mwanao wa kiume anaoa kahaba mstaafu?Mimi sioni faida ya mimi kukata utepe , haya mambo yalipewa uzito karne ya 15.
Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Sawa lakn bado kuna vitu private unakuta vimefichika ambapo hata wazee wanaweza kuvigundua ila tu kwa masirahi yao wakafunga mdomo ukashikishwa ukiamin upo sehemu salam kumbe hamnaTunaongelea posibility mkuu, ofcourse hakuna kanuni moja itakaleta jibu sahihi kwa kila mtu lakini ukishirikisha wazee kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mke sahihi kuliko ukivamia hawa wa mjini wanaojiita wapambanaji sijui malkia wa nguvu.
Ebu usinchambe wakati sijamaliza kujisaidia alooo....☹️Wanaume wa mkoani bhana mnanichekeshaga kweli kweli.. mnajionaga wagumu kumbe uko kwenu saa 11 jioni tu mnajifungia ndani mnawaogopa watoto wadogo wakina dangote, anyway kusanuana muhimu, we utaacha mshkaji wako aoe kahaba mstaafu?
Pamoja na kufatilia background ya binti vile vile unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia cha muhimu wewe ni kufanya tu research yako ukijiridhisha ndio uoe ikitokea umeuziwa mbuzi kwenye gunia basi iwe ni kwa kutokujua ila sio kwa kujua au kupuuzia.Hata ukisema utafute kwa dunia ya kistaarabu unaweza ukala za kichwa vile vile.
Mfano kuna rafiki wa shemeji yangu kaolewa mwezi uliopita.
Yule binti ni wazanzibari familia ni nzuri inafahamika kwa maadili ila binti alikua mzinzi wa chini sio poa.
Akatokea jamaa akamchumbia amuoe,wazee wakaficha makando ya binti ili aolewe tu chap chap asepe zake.
Sasa imagine mume aje agundue baadae makando ya yule binti aisee😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️.
Yani makando yake kama akielezewa nyege zote zinakukata mzee unakimbia nduki na kugoma kuoa.
Ila ukiitizama familia iko poa na ya dini na binti akitoka kajistiri na humkuti majumba ya starehe na uchafu.
Ila kumbe ni sumu baridi hapo mtaani hadi na wame za watu keshafumaniwa nao.
Uzuri aliyemuoa wa mbali.
Ila wazazi wamemficha jamaa back ground ya binti.
Hapo nadhani unapata picha ikoje mkuu.
Kwan unao wangap mkuuHii ndio asili vijana. Huu ndio mwendo ninao ishi nao, sitafuti mke bali natafutiwa.
Wake zangu wote nimetafutiwa.
Ukiingia na akili ya huyu mwanamke mstaarabu sijui ni mshika dini au amelelewa vizuri ushafeli vibaya sana. Uzoefu wangu dhidi ya wanawake kama ukiamua kuoa tarajia lolote yaani iruhusu akili zaidi kufanya maamuzi na sio hisia. Ukitumia hisia ni rahisi kudanyanyika kirahisi maana hutaweka tahadhari.Hata ukisema utafute kwa dunia ya kistaarabu unaweza ukala za kichwa vile vile.
Mfano kuna rafiki wa shemeji yangu kaolewa mwezi uliopita.
Yule binti ni wazanzibari familia ni nzuri inafahamika kwa maadili ila binti alikua mzinzi wa chini sio poa.
Akatokea jamaa akamchumbia amuoe,wazee wakaficha makando ya binti ili aolewe tu chap chap asepe zake.
Sasa imagine mume aje agundue baadae makando ya yule binti aisee😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️.
Yani makando yake kama akielezewa nyege zote zinakukata mzee unakimbia nduki na kugoma kuoa.
Ila ukiitizama familia iko poa na ya dini na binti akitoka kajistiri na humkuti majumba ya starehe na uchafu.
Ila kumbe ni sumu baridi hapo mtaani hadi na wame za watu keshafumaniwa nao.
Uzuri aliyemuoa wa mbali.
Ila wazazi wamemficha jamaa back ground ya binti.
Hapo nadhani unapata picha ikoje mkuu.
Wazee wenyewe unao washirikisha unakuta yeye (baba yako) na mkewe (mama yako) waliachana tangu wewe upo darasa la 3B.Hata kwa sasa inawezekana mkuu ni suala la kushirikisha wazee tu sema ndio vile tunachukulia huo ni utaratibu wa kizamani
Yaani ni shidaaWazee wenyewe unao washirikisha unakuta yeye (baba yako) na mkewe (mama yako) waliachana tangu wewe upo darasa la 3B.
Sent using Jamii Forums mobile app
As long as mwanamke ndie anaeenda kukutana na consequences basi ndie anaetakiwa kuwa makini zaidi. Kama mwanamke hakubakwa basi somewhere somehow yeye ndie alikosea kufanya maamuzi ya mwisho Hata mwanaume awe mchakataji holela jamii yetu haimnyanyapai ukilinganisha na mwanamke akiwa mchakatwaji holela,Pia bad boys ni wanaume , wakulaumiwa ni bad boys pia
Nitafurah sana kuona mdogo wangu wa kiume akioa mwanamke ,kwa sababu dunia ya sasa ukahaba sio issue tena kuna mpka ndoa za jinsia moja kwa sasa mkuu ,ambayo itanihuzunisha mno kuona ndugu yangu au jamaa yangu wakaribu na hata wa mbali akijihusisha nazo.Ishu sio kukata utepe ishu ni past yake. Mkuu embu kuwa mkweli utakubali ukiona kaka ako, mdogo ako au mwanao wa kiume anaoa kahaba mstaafu?
Hata ikibugi basi uuziwe mbuzi kwenye gunia kwa kutokujua lakini sio kwa kujua au kupuuzia.Sawa lakn bado kuna vitu private unakuta vimefichika ambapo hata wazee wanaweza kuvigundua ila tu kwa masirahi yao wakafunga mdomo ukashikishwa ukiamin upo sehemu salam kumbe hamna
Ndio maana nikasema haijalishi mazingira gani utamtafuta binti ila waweza pata sokomoko vile vile.Pamoja na kufatilia background ya binti vile vile unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia cha muhimu wewe ni kufanya tu research yako ukijiridhisha ndio uoe ikitokea umeuziwa mbuzi kwenye gunia basi iwe ni kwa kutokujua ila sio kwa kujua au kupuuzia.
Kinachojadiliwa mkuu ni historia ya mwanamke kabla hujamuoa.Ukiingia na akili ya huyu mwanamke mstaarabu sijui ni mshika dini au amelelewa vizuri ushafeli vibaya sana. Uzoefu wangu dhidi ya wanawake kama ukiamua kuoa tarajia lolote yaani iruhusu akili zaidi kufanya maamuzi na sio hisia. Ukitumia hisia ni rahisi kudanyanyika kirahisi maana hutaweka tahadhari.
Uyo mwanamke sasa ndio una file lake past yake ina makandokando kibao utafurahi?Nitafurah sana kuona mdogo wangu wa kiume akioa mwanamke
Nakupa hii ukitaka kuchimba hazina za duniani hapa basi jiepushe na kuhukumu watu.
Kuushinda uzinzi sio rahisi Kama unavyojariu kuandika japo wengine tumeweza Ila ni kwa neema tu.
I'm a nice guy and I believe I will finish last but I will finish with great reward.
I can't be nasty in my all days long.
🤝
Mwanangu umeongea kitu kikubwa sana, ndugu yangu mademu wa chuo ni Malaya wastaafu. Wale ukiweka ndani jiandae kuwa na milioni 5/6 za kutafutia mtotoNice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.
As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.
Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.