Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Vipi pia kujua past ya muoaji? Wengine kila mke wanaeoa anakufa. Au hapa tunaongelea wanawake pekee
kujua past ya muoaji pia ni muhimu unaweza kuta jamaa alikua shoga iyo ni fedhea kwa mke lakini kwenye suala la sex mwanaume hata akiwa hajatulia anyanyapaliwi kama anavyonyanyapaliwa mwanamke anaegawa kwa kila mtu kwaiyo muhimu muoaji asiwe na magonjwa tu ila suala la utombaji holela kwa upande wa mwanaume alimchafulii sana brand yake ukilingamisha na mwanamke akiwa mtombwaji holela. Kuhusu suala la kufiwa na mke hapo fafanua vizuri kwamba huyo mwanaume anaua wake zake au wanakufa vifo vya kawaida?
 
Bora malaya aloamua kutulia mwenyewe kuliko hawa wanaojifanya watulivu.
 
Mkuu hili lina ukweli kwasababu mimi binafsi kuna msichana nilimpenda sana na nilikuwa radhi niongee na wazazi wake ili nimsomeshe kwasababu familia yao haipo sawa kiuchumi kwa ahadi kuwa awe mchumba wangu,, ila dogo akazingua baadae akanipiga chini kisa bishooo mmoja hivi bahati mbaya shule akaacha kisa mimba ila mshkaji akamuoa akamzalisha tena akamtema,,akaja kwangu anajilaumu nikamwambia ni ngumu mimi kukuoa wewe labda nikutie tu akakubali,,,sasa mtoto kafunzwa kila mchezo na yule mpuuzi dogo anameza shahawa na nyuma kupo wazi
Duuh!!!

Mkuu hebu fukuza hilo malaya.

Yani nimepata hasira sana kama ni mimi vile...
 
Bora malaya aloamua kutulia mwenyewe kuliko hawa wanaojifanya watulivu.
Una uhakika gani kama ameamua kutulia. Kunguru hafugiki mkuu, mwaka mmoja tu maisha ya kukosa uhuru wa kwenda viwanja na kudanga yatamshinda anarudi kule kule. Na katika enzi zake za umalaya kumbuka abortions na P-2 yalikua ndio maisha yake ya kila siku kuna uwezekano mkubwa ukamkuta tayari ashaalibu kizazi.
 
Wewe unajuaje kama kila mwanaume anayeoa mwanamke asiyetulia ni nice guy kwamba hakuna ma play boy, vipi kama hao wanaume ni magubegube hivyo wanaamua wachukue magumegume ili wakakutane wenyewe huko, yani wewe mwanaume unataka urukeruke huko halafu ukitaka kuoa upate decent woman sasa watoke wapi wakati ninyi wenyewe ndio mliowachezea
 
past ya mwanamke mimi yakazi gani, wakati najua siwezi badili past
ushauri wangu ni mtu aanzie pala alipopakuta na pakimshinda aache bila kujali atamwachia nani
 
Unaweza kutana na mwanamke mlokole au msalihina na anaishi nyumbani na anaonekana mstaarabu ila kapata mimba 6 katoa 4 na kazaa 2.
Kaka wanawake wa siku hizi hubeba mambo mengi ambayo si rahisi kuyajua na hata ukiyajua waweza zimia,mbaya zaidi mabinti wa siku hizi waigizaji sana mpaka mama zao wanawasaidia uigizaji.
U've missed the point hapo! wewe unaongelea muigizaji anayejifanya mlokole/mswalihina lakini unachoambiwa ni kufanya vetting sahihi, ukifanya vetting vizuri utamuepuka huyo msanii.

Hili jambo ni rahisi sana na linaanzia kwa vijana wa kiume, ukitaka kuoa kaa chini na wazee wakutafutie mke, fanya tathmini kwa mapendeko unayopewa utakaevutiwa nae OA!

Yale ma-gladiator mliopitanayo kichuo chuo yaacheni yaendelee kuvuta shisha! ... it will only take two to three generations za maisha ya chuo kwa mabinti kubadilika ( 6 to 10 years). Amazing thing ni kwamba mwanaume yule yule aliyekataa kuoa gladiator 7 years back can still marry then na bado hajachelewa.

Lenga kuoa bikra, utapata amani ya ndoa
 
mimi nimekulia mwanza kwa sasa naishi ruvuma kwahiyo wewe unataka nisichakate mbususu mpaka nijue past yake....seriously........?
 
U've missed the point hapo! wewe unaongelea muigizaji anayejifanya mlokole/mswalihina lakini unachoambiwa ni kufanya vetting sahihi, ukifanya vetting vizuri utamuepuka huyo msanii.

Hili jambo ni rahisi sana na linaanzia kwa vijana wa kiume, ukitaka kuoa kaa chini na wazee wakutafutie mke, fanya tathmini kwa mapendeko unayopewa utakaevutiwa nae OA!

Yale ma-gladiator mliopitanayo kichuo chuo yaacheni yaendelee kuvuta shisha! ... it will only take two to three generations za maisha ya chuo kwa mabinti kubadilika ( 6 to 10 years). Amazing thing ni kwamba mwanaume yule yule aliyekataa kuoa gladiator 7 years back can still marry then na bado hajachelewa.

Lenga kuoa bikra, utapata amani ya ndoa
Unajichanganya mzee.
Usithubutu ukadai kutafutiwa mke,zama hizi waweza kujuta.
Pia soma maelezo yangu vizuri huwenda hujanielewa,ama ngojea nikueleweshe kinagaubaga.

Waweza ukamsihi mzee akutafutie mke,mzee akaenda katika familia anayoifahamu kiundani ambayo inafahamika familia nzuri yenye maadili,ila mtoto asiwe vile familia ilivyo.
Hawa mabinti wanapotoa miguu majumbani huko nje hufanya mengi ambayo familia hawajui mzee.
Sasa jichanganye mzee akutaftie mke yeye atumie reference ya kujua wazee ile familia uingie chaka.
Sasa hivi ni kumuomba Mungu tu akupe mke mwema,ila wewe kama wewe kumgundua mtu ndiye ama siye ni ngumu.
Hizi zama zimechafukwa sana,haijalishi binti wachuo ama wanyumbani ila hizi zama aisee za kuomba sana Mungu akupe jicho la tatu.
 
Wewe unajuaje kama kila mwanaume anayeoa mwanamke asiyetulia ni nice guy kwamba hakuna ma play boy, vipi kama hao wanaume ni magubegube hivyo wanaamua wachukue magumegume ili wakakutane wenyewe huko, yani wewe mwanaume unataka urukeruke huko halafu ukitaka kuoa upate decent woman sasa watoke wapi wakati ninyi wenyewe ndio mliowachezea
Tatizo nikikujibu utataka tubishane mpaka kesho ila mzee baba unaongeaga mambo ambayo hayana uhalisia, linapokuja suala la kuoa hakuna mwanaume anaoa gumegume labda ndio itokee hajui past wala current ya mwanamke.
yani wewe mwanaume unataka urukeruke huko halafu ukitaka kuoa upate decent woman sasa watoke wapi wakati ninyi wenyewe ndio mliowachezea
Asilimia kubwa ya wanawake wana rekodi za wanaume wanaowatongoza ni wao wenyewe tu wana-prefer badboyz over nice guyz, wanasema mahusiano na nice guyz yanaboa hayana hekaheka. Nice guyz wapo na wanaoonesha interest kwa wanawake tangu mapema kabisa tatizo ndio wanawake wanawaweka pending kwanza ili wawatumie pale wanapokua na shida au wawakubalie miaka ya badae wakishakua makapi.
 
kujua past ya muoaji pia ni muhimu unaweza kuta jamaa alikua shoga iyo ni fedhea kwa mke lakini kwenye suala la sex mwanaume hata akiwa hajatulia anyanyapaliwi kama anavyonyanyapaliwa mwanamke anaegawa kwa kila mtu kwaiyo muhimu muoaji asiwe na magonjwa tu ila suala la utombaji holela kwa upande wa mwanaume alimchafulii sana brand yake ukilingamisha na mwanamke akiwa mtombwaji holela. Kuhusu suala la kufiwa na mke hapo fafanua vizuri kwamba huyo mwanaume anaua wake zake au wanakufa vifo vya kawaida?
Hapo mstari wa mwisho. Vya kujua kama anawaua au wanakufa naturally ndo kipengele😂 ukweli wanaujua wake zake hao marehemu sasa labda wafufuke waseme. Ila unakuta mwanaume kazika wake wanne ndani ya miaka nane.
 
Unamjua mwanaume yoyote ambae amezika wake zake kuanzia watatu?
 
Tatizo nikikujibu utataka tubishane mpaka kesho ila mzee baba unaongeaga mambo ambayo hayana uhalisia, linapokuja suala la kuoa hakuna mwanaume anaoa gumegume labda ndio itokee hajui past wala current ya mwanamke.

Asilimia kubwa ya wanawake wana rekodi za wanaume wanaowatongoza ni wao wenyewe tu wana-prefer badboyz over nice guyz, wanasema mahusiano na nice guyz yanaboa hayana hekaheka. Nice guyz wapo na wanaoonesha interest kwa wanawake tangu mapema kabisa tatizo ndio wanawake wanawaweka pending kwanza ili wawatumie pale wanapokua na shida au wawakubalie miaka ya badae wakishakua makapi.
Hivi kwanini mnalazimisha suala la kupenda play boys over nice guys lionekane kama ni la wanawake wote kwanini mnapenda kugeneralize, kama mahusiano na nice guys yangekuwa yanaboa basi hao nice guys si wangekosa wanawake wangekuwa single ila mbona nao wana wanawake, kwanza unavyoongelea hao nice guys utasema labda wako wengi kumbe ni wa kutafuta kwa tochi wanaume karibu wote ni wahuni tu kwahiyo mnapokuwa mnawachezea hawa wanawake mkumbuke mkitaka kuoa wanawake ndio hao hao hivyo msiwalaumu
 
Wewe unajulikana ni mpenda ligi. I rest my case
 
Unamjua mwanaume yoyote ambae amezika wake zake kuanzia watatu?
Is this a rhetorical question? Maana kama sivyo you don’t expect me nikutajie jina. If yes please kaa pembeni tusije tukaanza kubishana na experience uliyonayo wewe against reality ninazokutana mimi.

🤝
 
Back
Top Bottom