mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,087
- 20,350
dah natamani kuelewa hii coment zaidi mkuu. Which system?kama wengine tusingeamua kuowa na tusingeowa kabisaa.....system ilipania kutunyoosha na kutukomoa kabisa
dah natamani kuelewa hii coment zaidi mkuu. Which system?kama wengine tusingeamua kuowa na tusingeowa kabisaa.....system ilipania kutunyoosha na kutukomoa kabisa
System ilikunyoosha vipi kiongozikama wengine tusingeamua kuowa na tusingeowa kabisaa.....system ilipania kutunyoosha na kutukomoa kabisa
Amuulize yule dada wa kibubu challenge. Kuweka noti noti Kila sikukuna kupanda kwa maisha na kushuka unaweza ukawa nazo hela ilankuna wakati upepo utakubadilikia
Watu wengi hawajui hilo, pesa zinaisha hata nguvu za kufanya kazi zinaisha pia. Msingi wa ndoa unapaswa kujengwa kwenye utu na sio vitu!kuna kupanda kwa maisha na kushuka unaweza ukawa nazo hela ilankuna wakati upepo utakubadilikia
Inaonekana wewe umemaliza chuo mwaka huu na bado huyajui maisha!Aisee! Sio rahisi kipato kupotea kama mnavyosema wakuu.
NIAMBIE NI WATU WANGAPI UNAWAJUA AMBAO KIPATO KIMEWAISHIA KIASI HAWAWEZI KUTOA HUDUMA KWA FAMILIA ZAO..?
Unachokisema ni IMAGINATIONS tu Mkuu, maisha hayapo hivyo.
Ukiona nyuzi km hizi bila shaka moyo wako unasuuzika na usiku unalala usingizi mtamu sana...NAKAZIA HAPA
😂😂😂😂😂😂Bado ujasema kuoa kuko pale paleSio ujinga Mkuu, ni ujanja.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
💯💯Habari zenu wakuu,
Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba.
Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku kwenye maisha yako. Maisha ya ndoa yanahitaji pesa za kilasiku na hilo jukumu ni la kwako wewe Mwanaume na sio mwengine, kwahyo hakikisha kuwa unakipato cha kueleweka ili kuepusha matatizo mbeleni.
Kila mtu ana ndoto za kuwa na ukwasi kwenye maisha yake, unapooa wakati hujajipanga huenda ukashindwa kufikia hizo ndoto kwa kiasi kikubwa.
Nimeona baadhi ya vijana wenzangu wakioa lakini mwisho wa siku wanazitesa familia zao kwa Njaa, maana kilasiku wanalia shida kusaidiwa hela kulisha familia zao.
NB. KUOA NI MAJUKUMU, JIPANGE KABLA YA KUYATIMIZA HAYO MAJUKUMU.
Acha kupotosha vijana watapata stress bure..Unawapotosha vijana. Binafsi yangu, kipindi naoa ndo kwanza nina miaka miwili nimemaliza chuo alafu sikuwa na kazi yoyote ya kuniingizia kipato.
Mke wangu amekuwa chachu ya mafanikio yangu hadi hapa nilipo. Ninachokiamini, maisha hayana kanuni, kila mtu na riziki yake.
lakini mkuu, hela ya kula ulikuwa unatoa wapi? au mlikuwa hamli?Unawapotosha vijana. Binafsi yangu, kipindi naoa ndo kwanza nina miaka miwili nimemaliza chuo alafu sikuwa na kazi yoyote ya kuniingizia kipato.
Mke wangu amekuwa chachu ya mafanikio yangu hadi hapa nilipo. Ninachokiamini, maisha hayana kanuni, kila mtu na riziki yake.