EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,415
Asante mkuu. Nakiri mbele za Mungu, mke wangu amekuwa chachu ya mafanikio yangu.Hongera sana mkuu, mpende sana mke wako
Asante mkuu. Nakiri mbele za Mungu, mke wangu amekuwa chachu ya mafanikio yangu.Hongera sana mkuu, mpende sana mke wako
Mtu anaoa anaanza kupiga mizinga mke kajifungua asaidiwe,usipomsaidia anakuchukiaHabari zenu wakuu,
Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba.
Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku kwenye maisha yako. Maisha ya ndoa yanahitaji pesa za kilasiku na hilo jukumu ni la kwako wewe Mwanaume na sio mwengine, kwahyo hakikisha kuwa unakipato cha kueleweka ili kuepusha matatizo mbeleni.
Kila mtu ana ndoto za kuwa na ukwasi kwenye maisha yake, unapooa wakati hujajipanga huenda ukashindwa kufikia hizo ndoto kwa kiasi kikubwa.
Nimeona baadhi ya vijana wenzangu wakioa lakini mwisho wa siku wanazitesa familia zao kwa Njaa, maana kilasiku wanalia shida kusaidiwa hela kulisha familia zao.
NB. KUOA NI MAJUKUMU, JIPANGE KABLA YA KUYATIMIZA HAYO MAJUKUMU.
Kipindi naingia kwenye ndoa nilipitia kipindi kigumu kidogo, maana sikuwa na pesa ya kujikimu kikamilifu. Lakini kupitia mke wangu alinipa nguvu na msukumo zaidi wa kupambana.Hongera mkuu, kusema ulikuwa huna kazi kabisa sio kweli umetuongopea
Wanawake wa hivyo ni ngumu mno kuwapata 1/100
Ila Waoga ndio wanaodumu 😀😀Kuiipanga hiyo ni kanuni lazima uwe nacho cha kuweza kuweka mambo ya familia yaende
Ila sasa mambo ya kuogopa ndoa mtu hodari ni yule anaepambana na changamoto na kuzipatia majibu kuogopa kuzikabili ni uoga usio wa kujenga,
Ni kwel..ndio mana nasema tuliooa hatuwazag ujinga huo mnaowaza nyie watoto mpaka mnagopa kuoaUkiona umeona halafu unachapiwa na uko comfortable, basi ujue hiyo siyo ndoa. Ni pair ya wahuni 2 wanaoishi pamoja.
Kataa ndoaNAKAZIA HAPA
Unajua msiwe mnajitoa ufahamu kwenye hizi mada. Ni wapi hawa vijana wamesema wanaogopa changamoto za ndoa?Bado nitachagua ndoa, muoe vijana mnaogopaje changamoto za ndoa na bado mnajiona ni wanaume timilifu,mwanaume ana sifa moja kuu ya kupambana na changamoto zinazomkabili katika maisha vijana mnaogopa ndoa najiuliza uanaume wenu ni wa faida gani
Tako muhimu, mambo ya kupapasa goma lako usiku unakuta tako ni zero level ni sawa na kulala na mwanaume mwenzako. Tako lina umuhimu sana mzee liheshimiwe.Wapo Mkuu, kama umeshindwa kumpata waambie Wazazi au Ndugu wakutafutie.
NB. USIANGALIE MATAKO SANA!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwa mtakuwa mnakula maelewano? ukitaka kuoa lazima at least uwe na uwezo hata wa kumudu milo mitatu kwa siku, na mahitaji mengine.kuoa sio fedha,ni maelewa o baina ya mume na mke,pesa sio muhimu hivyo
Mwanamke anayekupenda akikukuta hauna kitanda atakusaidia kupata godoro kwanza kitanda kitachongwa baadae. Na kama akishindwa kabisa atalala unapolala nyie si ni mwili m'moja bwana.Upo sahihi Mkuu, ila kujipanga ni lazima.
UNAWEZAJE KUOA UKIWA HAUNA HATA KITANDA AU MSOSI WAKO MWENYEWE UNAKUPIGA CHENGA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hawa ndio wakishafika uzee wanasema wanawake wao wamewabadilikia au wamekengeuka kumbe shida ni namna walianza nao. Mwanamke unamvuta kwa mali au vitu vinavyohusiana na pesa then unategemea atakupenda hadi utu uzimani?Watu wengi hawajui hilo, pesa zinaisha hata nguvu za kufanya kazi zinaisha pia. Msingi wa ndoa unapaswa kujengwa kwenye utu na sio vitu!
Mkuu ulipaswa useme kwamba mnaotaka kuoa basi oa mwanamke wa size yako.Habari zenu wakuu,