Nlitaka kuktag lakini ushatinga. Hizi mada za ndoa yani huko nazo makinNAKAZIA HAPA
Nlitaka kuktag lakini ushatinga. Hizi mada za ndoa yani huko nazo makinNAKAZIA HAPA
Wa kupigia puchuu
Viganja vimewakakamaa,akikushika mkono unajua kabisa huyu mpiga puchu![]()
Na itafika mahali mshedede hauamki tena kwa usugu.. Wacha wakamue maziwa wanahisi ni chuchu za ngo'mbeNyie wajinga huwa mnawaza kuchapiwa tuuuu 😂😂 stupid kabisaaa.Upepo ukbadilika kipato kiashuka unachapiwa na wenye nazo huko mtaani kwako
Ushaanza kunishauri ujinga sasa naingiza vimia mia vya kandoro dayle naanzaje kusema nisioeHabari zenu wakuu,
Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba.
Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku kwenye maisha yako. Maisha ya ndoa yanahitaji pesa za kilasiku na hilo jukumu ni la kwako wewe Mwanaume na sio mwengine, kwahyo hakikisha kuwa unakipato cha kueleweka ili kuepusha matatizo mbeleni.
Kila mtu ana ndoto za kuwa na ukwasi kwenye maisha yake, unapooa wakati hujajipanga huenda ukashindwa kufikia hizo ndoto kwa kiasi kikubwa.
Nimeona baadhi ya vijana wenzangu wakioa lakini mwisho wa siku wanazitesa familia zao kwa Njaa, maana kilasiku wanalia shida kusaidiwa hela kulisha familia zao.
NB. KUOA NI MAJUKUMU, JIPANGE KABLA YA KUYATIMIZA HAYO MAJUKUMU.
Kila raheli chief 😂Mwakani naoa inshaallah nimeshaamua
Amin ili uwe mwanaume kamili ni lazima ukabili majukumu na siyo kukwepa, mwanaume unahitaji uwe na mtoto/watoto na hao watoto wanastahili upendo wa pande mbili wako na wa mama yake ni lazima nioe mwakani Mungu akipendaKila raheli chief 😂
Ndoa ndio mtihan mgum unaanza kupewa cheti alafu mtihan unafuata baadae!!!Bado nitachagua ndoa, muoe vijana mnaogopaje changamoto za ndoa na bado mnajiona ni wanaume timilifu,mwanaume ana sifa moja kuu ya kupambana na changamoto zinazomkabili katika maisha vijana mnaogopa ndoa najiuliza uanaume wenu ni wa faida gani
Atakae katika tamaa nae anapaswa aangaliwe vzuri na arudishwe xcul akarudie somo la ‘za kuambiwa changanya na zakoJamani hizi mada za ndoa zimekua nyingi sana na zote zinawakatisha tamaa vijana.Hebu tuwaache vijana waoe hakuna jambo linalo kosa changamoto.Jamani ndoa zinachangamoto nyingi na tofauti tofauti lakini isitufanye tuogope ndoa sasa familia bora zitajengwa na kina nani km sio sisi.Njooni na mada hata za huyu shemeji yenu ataniua kwa mapishi au mahaba![]()
NAGONGELEA MSUMARI "KATAA NDOA"NAKAZIA HAPA
Sio kumfurahisha Mke ni kujifurahisha wewe mwenyewe Mkuu.Yaaani unamaanisha nitafute pesa kwa bidii ili nije kumfurahisha mwanamke na kuhakikisha anakuwa wangu milele wakati kuna machaguo mengi???!! Hell No.
Upo sahihi Mkuu, na pia kugonga wanawake na Ndom. Hili suala nalichukia sana.Kuishi bila mke changamoto kipato kikubwa kinaishia kuhonga,kwenda club, betting na kula mavyakula ya viwandani uchafu, kutokujali muda,
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app