Usintafute...

MJ1 Mzima wee mdada?

Abee Da mkubwa.

Sijagongana nawee kwenye threads kitambo, nimefurahi leo nimekupata hapa.
Kwa hilo naamini u-mzima wa afya kabisa.... As well as me.

Kheri ya Mwaka Mpya MJ1... May 2012 be one of your BEST!

Sijambo mdada habari ya wewe jamani!! Am in love nakutafuta kwa ushauri lol.

Aksante Da Mkubwa mwanga wa 2012 ushaanza kuniwakia because of your well wish. Aksante sana
Nichagulie color of the year Dadangu.............lol am flying in the sky

I love people in Love.... come this way ni do the needful Dearest.....

OMG!!! Kweli mdogo wangu is in Love jamani..... Dah! Unaniumiza hio suspense.... Hebu sema rafiki...

Hahaha Da Mkubwa I have been there flying since last year nikaogopa kusema sasa I think niko sure loh!! ngoja tu nifurahi hata ikilast short I wont regret hahahh
Nitakutafuta mpendwa..............ngoja niombe ruhusa kwanza kwa shemeji K maana yeye ananibaniaga sana aisee (pengine kwa kuwa he knows me very well aisee) he is so protective

Your shem is protective hasa kwa opposite sex.... Lakini wewe amini usiamini ukitembelea home aweza ata tuacha sebuleni akatupa ofa ya kutupikia chai.... (he is a good man you know.....lol). Enways I am happy this is news... Brilliant news.... mimi very patient dear, ukiwa ready I am all yours na ukija shem wako atakaa pembeni kidog....lol

Hahahahha Da Mkubwa bwana kwka kutega, unajua kabisa nikiwa nawe pekee sitaficha kitu mwe nitakumwagia kila kitu. Bora awepo shem kidogo nitaficha mengine bana hahahahaha

Hivi unajua hua sinaga 100% concetration kwa wengine shem wako akiwa around? sema uzuri hata yeye hufaa kwenye ushauri hivo maybe aweza saidia.... Lini sasa dear?
Hey..............!!!:focus:
 
Back
Top Bottom