Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Wengine wakichepuka utadhani ndo wanabalehe kumbe washapiga papuchi laki tatuUna akili sana wewe. Watu wanaweza kutoa lekcha kwa jamaa lakini bado ana afadhali kubwa kuliko Wanaume wengi. Tunawaona huku wanapiga bia, wana Wanawake kila kona, wanawadharau wake zao nk.
Lakini braza Nanya yeye anagida bia lakini mawazo kwa mkewe. Safi sana.
Always drinking is good idea!
Kucheat kupo ila mwanaume anaekumbuka nyumbani ni mzuri sana