Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Kuwa na mabox ndo kutumia condom kwa kila mwanamkehome kwake alikua na mabox ya ndom ya kutosha.
Kuwa na mabox ndo kutumia condom kwa kila mwanamkehome kwake alikua na mabox ya ndom ya kutosha.
Au ulikua mkaguzi wa kondomu..?Watu wengne mtafundishwa kwakukalipiwa acha uzezeta kwani we ndo ulikua una mshikia mapaja.? au ulikua unamvalisha kondomu.?
Sawa mkuundio mimi.
Mabox yalikua mapambo tu hayokwa hio unataka kusemaje?
Nahisi hii ni kahawajaki unazingua, bia gani inatoa moshi halafu inawekwa kwenye kikombe? ha ha ha![]()
![]()
![]()
We ni mtu mzima utajua mwenywe na mkeoso unanishauri niwe natumia ndom?
kwa mamsapu siwezi kutumia ndom ila nshakuelewa unachomaanisha. nichepuke na niwe natumia ndom. hivi wewe ndo ungekua mamsapu halafu kuna mwanamke JF ananishauri kama wewe huo unaona ni uungwana? kweli nyie hampendaniWe ni mtu mzima utajua mwenywe na mkeo

kwanini ununulie wanawake bia na kuwabambia wakati una mkeo nyumbani??.
ukikutana na mwanamke bar mpige bia, mchekeshe mpaka mbavu zivunjike, bambia ubambiavyo, ila mwisho wa siku usije ukaamua kulala nae,
Nipo kwenye ndoa na nyie wanaume uwa hamtosheki mnajijua hivyo mm ata mr akisafiri najifanya kumtania usisahau kutumia condom lkn mwenywe najua nn namaanishakwa mamsapu siwezi kutumia ndom ila nshakuelewa unachomaanisha. nichepuke na niwe natumia ndom. hivi wewe ndo ungekua mamsapu halafu kuna mwanamke JF ananishauri kama wewe huo unaona ni uungwana? kweli nyie hampendani![]()
![]()
kukushawishi uamini wanaume waaminifu tupo ni kama kumshawishi mkristo aamini kuna majini wema.Nipo kwenye ndoa na nyie wanaume uwa hamtosheki mnajijua hivyo mm ata mr akisafiri najifanya kumtania usisahau kutumia condom lkn mwenywe najua nn namaanisha