Usiniulize kwanini sichepuki

Usiniulize kwanini sichepuki

huyu mamsapu nna miaka nae minne, hakuna uhuni ambao sijawahi kuufanya ila tangu blaza alivyopotea kwa ugonjwa wa kukondesha, nimeamua kuwa mpole na kutafuna steki za mamsapu exclusively.. karibu bia mkuu
vipi siku ukigundua wenzio wanajinyakulia?
 
'Hakuna uhuni ambao hujawahi fanya' kwahiyo tigo umekula sanaa,je ulishawahi vaa kondom mlegezo?
 
Hivi wewe c ndo yule ulimpa mkeo mshahara nusu au nimekufananisha
 
Narudia tena, usiulize kwanini na unywaji bia wangu wote sijawahi kutoka na wanawake naokutana nao bar. kama mtu mzima huna budi kujiongeza pale ndugu yako anapopatwa na majanga. wahenga walisema mwenzako akinyolewa zako tia maji.

nimejifunza kuachana na uhuni kupitia ndugu yangu. Ndugu yangu wa damu kabisa alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI wakati bado kijana mwenye nguvu za kutumikia taifa. nilisikitika ila sikuwa na uwezo wa kumfufua, ila uwezo niliokuwa nao ni kujifunza kupitia maisha yake aliyoishi.

ukikutana na mwanamke bar mpige bia, mchekeshe mpaka mbavu zivunjike, bambia ubambiavyo, ila mwisho wa siku usije ukaamua kulala nae, huwa tunakutana tu sehemu za starehe angali hatujui afya ya yule tunaeongea nae ipoje. piga bia lipa bili kisha rudi kwa mamsapu ukaburudishwe na steki zake, hizi steki za mtaani ambazo hatujui kama zimethibitishwa na tbs zinaweza zikawa ni vibudu.

nimemaliza, karibu bia
Mi nawatombaga tu..!
Tena pekupeku!
 
blaza mkubwa alikua hapigi kavu na bado alikufa kwa ngoma.. tafakari
Watu wengne mtafundishwa kwakukalipiwa acha uzezeta kwani we ndo ulikua una mshikia mapaja.? au ulikua unamvalisha kondomu.?
 
Back
Top Bottom