Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Tangu zamani na hata leo kwa baadhi ya watu wanamchukulia mwanamke anapomsumbuasumbua mwanaume ndo inakua bomba na wameichukulia hiyo kama tabia ya kike hasa!Lakini mtazamo huu umepata upinzani kutokana na utandawazi kwani kukutana na binti leo na kupata one night stand ni kawaida na ndo imechukua sehemu kubwa ya maisha ya leo,je hii ya kuzungushana ina mashiko leo au ukiwa na mtazamo huo unakua wa kizamani?Kwetu wanaume wapo wanaopenda kuzungushwa?Na nyie wanawake je,vipi?