Usinikubali haraharaka!Nisumbue kidogo v/s utandawazi!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,706
Tangu zamani na hata leo kwa baadhi ya watu wanamchukulia mwanamke anapomsumbuasumbua mwanaume ndo inakua bomba na wameichukulia hiyo kama tabia ya kike hasa!Lakini mtazamo huu umepata upinzani kutokana na utandawazi kwani kukutana na binti leo na kupata one night stand ni kawaida na ndo imechukua sehemu kubwa ya maisha ya leo,je hii ya kuzungushana ina mashiko leo au ukiwa na mtazamo huo unakua wa kizamani?Kwetu wanaume wapo wanaopenda kuzungushwa?Na nyie wanawake je,vipi?
 
Usiulize,nidiss kama rado umkere fidQ,eti wanasema napenda ngozi nyeupe(usijichubueee),niponde kama wadau wa ze utamu kila dakika.
 
i like it strait bana ya nini tuzungushane lakini am just afyer sex so thats y
 
Utaratibu huo bado upo tu, hiyo night stand ni kwa wafanyao biashara lakini kwa mdada wa kisure lazima uswage not less than 3 months at least.
 
Kwa kweli hii concept ya kukuzungusha watu wanaiona mbaya(and that is one of the dangers ya kizazi hiki cha .com). Wadada humzungusha mtu ili mwanaume uzidishe bidii kwenye kumtafuta...Hiyo ni process ya kushortlist wanaume ambao ni hit and run(Kama mtu anakupenda kweli ataweza kuput up with the chase trust me. hata akiahirisha mapenzi yatampiga na atarudi ndani ya race kwa kasi zaidi).....Sasa tunawapa presha dada zetu waache hii kitu ndo maana mahusiano ya cku izi ni hovyo kabisa! Zamani mtu unakaa miezi kabla hujampata we unacomplain kuzungushwa cku 3!
 
Aaaa mimi napenda sana mwanamke anaye nizungusha, mana nikiona anzungusha sana na wachana naye, hivyo ana nipunguzia ma zambi.

Nawashukuru sana wanao nizungusha, haya yano kubali mbio mbio huwa yana nikera sana lazima nikayapande tu :cool2:
 
Kuna msichana mmoja nilimuuliza, mbona huoni shida kuongea na mtu siku hiyohiyo mnakubaliana mambo, akasema kama nikikutana na mtu ambaye najua kabisa hata nikimzungusha miezi nitalala nae huwa najua eti akasema haina haja ya kumzungusha, kwa hiyo mtu anaejua hataweza kuwa nae anamkatalia hapohapo
mtu kama huyu utamchukuliajje,utandawazi umetuharibu sana jamani
 
Utaratibu huo bado upo tu, hiyo night stand ni kwa wafanyao biashara lakini kwa mdada wa kisure lazima uswage not less than 3 months at least.

kha!!! miezi mitatu mbona balaa hapo.....jamani hamna taifa lililo faidika kwa vita ya muda mrefu
 
Kuna msichana mmoja nilimuuliza, mbona huoni shida kuongea na mtu siku hiyohiyo mnakubaliana mambo, akasema kama nikikutana na mtu ambaye najua kabisa hata nikimzungusha miezi nitalala nae huwa najua eti akasema haina haja ya kumzungusha, kwa hiyo mtu anaejua hataweza kuwa nae anamkatalia hapohapo
mtu kama huyu utamchukuliajje,utandawazi umetuharibu sana jamani

Yes!Nimeiona point hapo,huyo mdada yuko sahihi!What is the point of kuzungusha?
 
Kuna msichana mmoja nilimuuliza, mbona huoni shida kuongea na mtu siku hiyohiyo mnakubaliana mambo, akasema kama nikikutana na mtu ambaye najua kabisa hata nikimzungusha miezi nitalala nae huwa najua eti akasema haina haja ya kumzungusha, kwa hiyo mtu anaejua hataweza kuwa nae anamkatalia hapohapo
mtu kama huyu utamchukuliajje,utandawazi umetuharibu sana jamani

Raha ya kuzungusha ukimpata bwana hadi raha!!
hebu fikiria mlupo umeulia misele miezi mitatu alaf siku ya siku akaingia lain anakuambia "honey bas mi nitakija j2" usiku hulali na j2 inaonekana ipo mbali.

wakati huo huo unajenga picha ya game litakavyokuwa kali, hiyo ndo raha ya kuzungushwa bwana inaamsha mapenzi.

Hasara: inafika j2 unakuta uwanja ni mkubwa kama kiwanja kile cha barca, alaf kama vile mtera!!!! unajiuliza miez 3 ndo nilichokuwa nakitafuta? kula U turn.
 
Utaratibu huo bado upo tu, hiyo night stand ni kwa wafanyao biashara lakini kwa mdada wa kisure lazima uswage not less than 3 months at least.

kuzungushwa ndo safi inajenga hisia kali ya mapenzi. mbona miez 3 michache sana, mie nilizungushwa 2 yrs, na nampenda mpaka leo!
 
Back
Top Bottom