Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
Kabla sojajibu una Imani na uvumilivu?😀😀😂😂😂Au ntakua nakosea
Kabla sojajibu una Imani na uvumilivu?😀😀😂😂😂Au ntakua nakosea
HapanaWewe ni mwanamke?
Yeye acheat tu Ila akikirudisha ahakikishe na Mimi nagonga hapo ni kiroho safi kabisa tukifa tunazikwa Chini hakuna anaezikwa hewani"kwanza mwanamke mpaka anaamua kukucheat ujue wewe Kuna shida pahali" Kuna kitu bado hujafundishwa hapa dunian.
NA HATUKWAMBII MPAKA KIKUKUTE
Kwa mke Imani na uvumilivu siwezi kua navyoKabla sojajibu una Imani na uvumilivu?😀😀
🤣🤣Ilo ndo nenoKwa mke Imani na uvumilivu siwezi kua navyo
Kwa vile wewe si mwanamke, comment yako ni batiliHapana
Halafu wanaume mabwege kama wewe huwa mnasifiwa kweli na wanawake, ila amini na kwambia hakuna mwanamke yeyote humu ambaye atataka mtoto wake wa kiume awe na akili kama zako
Uvumilivu, chagua mtu unayeendana nae, bikra, wife material na unafiki mwingine ni baadhi ya maneno yanayotumiwa na watu wanaojaribu kutetea ndoa ila Kwa binadamu alivo complicated tungeamua kuishi uhalisia kusingekua na hayo maumivu ya kugongeana🤣🤣Ilo ndo neno
Uvumilivu hamna aisee hata sie wanawake tunavumilia tu ukweli Huwa tunaumia sana tu hasa wale wenye kuwapendasana waumezao
Sasa hizo ni ndoa mbele ya MUNGU au takataka na uchafu?, kucheat more and moreUnajua ukiangalia kwa jicho la tatu kama una familia na mna watoto kumwacha inakuwa ngumu una msamehe yanaisha basi, maisha ni mafupi kweli ukishikilia na ukaleta ujuaji magonjwa yasiyoambukiza lazima yakuhusu, kingine mwili wake kidude chake atumie yeye huko kwa hiari yake mimi nijitese hapana
It's trueUvumilivu, chagua mtu unayeendana nae, bikra, wife material na unafiki mwingine ni baadhi ya maneno yanayotumiwa na watu wanaojaribu kutetea ndoa ila Kwa binadamu alivo complicated tungeamua kuishi uhalisia kusingekua na hayo maumivu ya kugongeana
Huitaji kuwa mwanamke hili kujua mitazamo na maamuzi ya wanawake katika jambo fulani, kuishi nao nao tu inatosha kuwajua kiundani.Kwa vile wewe si mwanamke, comment yako ni batili
dunia haina huruma-bahati bukuku.Hakuna sababu ya kuhalalisha mwanamke kuchepuka, utakapogundua tu piga chini
Kulea bao la mwanaume mwingine sio ujinga kwa anayelea bali wa aliyekojoa na kusepa na aliyekojolewa.Huitaji kuwa mwanamke hili kujua mitazamo na maamuzi ya wanawake katika jambo fulani, kuishi nao nao tu inatosha kuwajua kiundani.
Hili mbona liko wazi, hakuna mwanamke anayependa mtoto wake wa kiume aje awe mwanaume mjinga ukubwani.... yes, mwanaume anayemsamehe mke wake kwa kosa la kulala na mwanaume mwingine hasa baada ya kuthibitisha huyo ni mwanaume mjinga maana tafsiri yake ni kwamba huyo yuko tayari kuletewa maradhi pamoja na kulea bao la mwanaume mwenzake bila kujua.
😄😄Kulea bao la mwanaume mwingine sio ujinga kwa anayelea bali wa aliyekojoa na kusepa na aliyekojolewa.
Maana anadhurumu haki ya mtoto bila sababu za msingi.
Mnatumia kanuni gani mkuu ,mimi naweza salitiwa nikafuta kabisa 😜😜😜😄😄
Hayaja kukuta mkuu wangu. Siku yakikukuta utakuja kufuta hizi comments zako.
Unaweza msamehe mke/Mpenzi wako ila kiukweli hilo penzi lenu halitarudi kama mwanzo, Hata ukipanda kifuani mwake mawazo ya kijinga tu yanakuja kichwani mwako.
Sasa what is the point of all this? Wakati mnaweza kubaliana tu kuvunja mkataba kwa faida za wote wa2
Wote watatu ni wajinga tu, ila mjinga zaidi ni yule aliyekubali kubeba jukumu lisilomuhusu ilihali na wahusika wapoKulea bao la mwanaume mwingine sio ujinga kwa anayelea bali wa aliyekojoa na kusepa na aliyekojolewa.
Maana anadhurumu haki ya mtoto bila sababu za msingi.
Ni bibi huyo sio bw. I mean ni keSasa bw. Jaji we upo upande gani mbona kama unakinzana na mada yako mkuu?
Don't build your happiness around a woman.Mimi namrudia mkuu ,unajua kuna mda inabidi uangalie furaha yako ilipo bila kujalisha kikwazo😊