Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Ikifikia kipindi ukamfumania mkeo na ukaongea nae mkayamaliza na maisha yakeendelea hapo ndiyo unakuwa na hadhi ya kuitwa Mwanaume, Ila ukamfumania na kumuacha wewe bado ni mvulana au kijana bila kujali Una umri gani

Mwanaume kabla ya. Kufanya maamuzi hufikiria Kwanza familia yake na watoto wake itakuwaje

Mwanaume hujiuliza Hana mchepuko au aliwahi kuchepuka na mkewe hakujua ana haki ya kumuacha mwenzie kisa kajua????

Kila Mwanamke kama hukukuta kufuli jua yupo aliyekutangulia, halafu ni mentality Tu ndiyo inafanya hivyo Ila kiukweli ni kitu cha kawaida Sana na wala hakipunguzi kitu wala hakiongezi kitu, kitu pekee Chenye afya kwako ni furaha, tafuta pesa za kutosha wanawake wapo wengi na mkeo Baki nae maisha yasonge watoto walelewe na Baba na mama
umeongea KIUME BIG UP
 
Back
Top Bottom