Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Mimi namrudia mkuu ,unajua kuna mda inabidi uangalie furaha yako ilipo bila kujalisha kikwazo😊
Usimkabidhi mtu uwezo wa kuamua furaha yako, nilishasema na nasema tena "hata kama ni mimi niachwe tu nikikamatwa msaliti"
 

View attachment 3067605

Kwa wanaume wote, hii Kauli ya "Never go back to the woman who cheated on you" ni rahisi sana ikiwa kwa Mwenzako, ila isiwe kwako, ni ngumu ,mno.

Kwenye mahusiano as a man ,unatakiwa uwe mbinafsi (ufikirie wewe na future ya familia yako) hakuna mwanamke ana cheat kwa bahati mbaya, kabla hujamsamehe kumbuka wakati analiwa ilichomoka na akairudishia mwenyewe. Kumbuka kuna wakati jamaa alikuwa amechoka anachomoa mkeo anamwambia ingiza hapo hapo.
Kumbuka kuna wakati jamaa alikuwa anamchapa mkeoa alafu anamwambia mkeo "akutukane' na ukatukanwa kweli kweli!

Ukikubali Kurudi Kwa Mwanamke aliyekusaliti ni sawa na kumpa Fisi akutangazie Injili ya Mifupa. Ataku-cheat tena na tena.

Wakati unajipanga kurudi kumbuka!
1 :She bj him
2: She asked him to have no mercy on her "punani" "nyau"
3: It's slipped and she put it back while holding his waist.
4: She daaah !!! brother nimeishiwa nguvu kiufupi kuliko urudi ukawe fala mara mia bora ukajipige selfie na sabuni ya kipande.

Yaan umemkuta mke wako/mwanamke wako analombwa hapo kesho unamsamehe? Hapo mm labda yeye ndio awe kanioa labda. Kwanza mwanamke mpk anaamua kukucheat ujue ww kuna shida pahali, na hapo ujue kashapambana sana kujizuia lakini hisia zimeishinda Akili.

"kwanza mwanamke mpaka anaamua kukucheat ujue wewe Kuna shida pahali" Kuna kitu bado hujafundishwa hapa dunian.
NA HATUKWAMBII MPAKA KIKUKUTE
Akili za watoto...
 
Halafu wanaume mabwege kama wewe huwa mnasifiwa kweli na wanawake, ila amini na kwambia hakuna mwanamke yeyote humu ambaye atataka mtoto wake wa kiume awe na akili kama zako
Wanaume wa kweli wanazidi kupungua kwa kasi.Wengi ni watu wenye jinsia ya kiume ila sio wanaume kwasababu wengi wetu ni dhaifu sana.Ukiona mwanaume anaona ni sawa mwanamke wake akichepuka jua hakuna mwanaume hapo.
 
Back
Top Bottom