Good my son!Nadhani swali la msingi kwake liwe"kwanini uliamua kuchepuka??"
Point za hapo ndio zitaamua tuendelee au tufike mwisho.
Good my son!Nadhani swali la msingi kwake liwe"kwanini uliamua kuchepuka??"
Point za hapo ndio zitaamua tuendelee au tufike mwisho.
Ya! It is unbearable!Disgusting,terrifying,devastating,unbearable,disappointing,heart breaking and shaming in short it is beyond catastrophic
Unajifariji tuu baada ya mtu wako kuliwa.Ikifikia kipindi ukamfumania mkeo na ukaongea nae mkayamaliza na maisha yakeendelea hapo ndiyo unakuwa na hadhi ya kuitwa Mwanaume, Ila ukamfumania na kumuacha wewe bado ni mvulana au kijana bila kujali Una umri gani
Mwanaume kabla ya. Kufanya maamuzi hufikiria Kwanza familia yake na watoto wake itakuwaje
Mwanaume hujiuliza Hana mchepuko au aliwahi kuchepuka na mkewe hakujua ana haki ya kumuacha mwenzie kisa kajua????
Kila Mwanamke kama hukukuta kufuli jua yupo aliyekutangulia, halafu ni mentality Tu ndiyo inafanya hivyo Ila kiukweli ni kitu cha kawaida Sana na wala hakipunguzi kitu wala hakiongezi kitu, kitu pekee Chenye afya kwako ni furaha, tafuta pesa za kutosha wanawake wapo wengi na mkeo Baki nae maisha yasonge watoto walelewe na Baba na mama
Hayanaga Muongozo....Msaliti hasamehewi
NI umri gani hasa mnaanza ku- cheat?Kuna age lazima cheat cheat cheat
Men wanaongoza, kikubwa hawabainiki kirahisi ---- especially wale waliosoma Cuba na wanaohudhuria vikao vyaoo
Biblia hiyo hiyo inasema "ukipigwa shavu moja mpe na la pili" means "ukiliwa , mle na wewe " na umsamehe.Unajifariji tuu baada ya mtu wako kuliwa.
Hata bibilia imesema mwanamke mzinzi achana nae.
hiyo umetafsiri weweBiblia hiyo hiyo inasema "ukipigwa shavu moja mpe na la pili" means "ukiliwa , mle na wewe " na umsamehe.
Mwanaune hachiti, anatimiza wajibu wake wa asili, haya mambo ya ndoa ya mke mmoja tumeletewa tu sio mambo yetu hayaVipi Mwanaume kumchiti mkewe????
Hakuna sababu ya kuhalalisha mwanamke kuchepuka, utakapogundua tu piga chiniNadhani swali la msingi kwake liwe"kwanini uliamua kuchepuka??"
Point za hapo ndio zitaamua tuendelee au tufike mwisho.
Hujawahi kugongewa demu na wewe ukaendelea kugonga?Ni kweli wakuu mtu akishakusaliti bora muachane tu for good it never works out.
Kosa la mwanamke kucheat huwa halisamehewi, labda uwe mwanaume mzeeIkifikia kipindi ukamfumania mkeo na ukaongea nae mkayamaliza na maisha yakeendelea hapo ndiyo unakuwa na hadhi ya kuitwa Mwanaume, Ila ukamfumania na kumuacha wewe bado ni mvulana au kijana bila kujali Una umri gani
Mwanaume kabla ya. Kufanya maamuzi hufikiria Kwanza familia yake na watoto wake itakuwaje
Mwanaume hujiuliza Hana mchepuko au aliwahi kuchepuka na mkewe hakujua ana haki ya kumuacha mwenzie kisa kajua????
Kila Mwanamke kama hukukuta kufuli jua yupo aliyekutangulia, halafu ni mentality Tu ndiyo inafanya hivyo Ila kiukweli ni kitu cha kawaida Sana na wala hakipunguzi kitu wala hakiongezi kitu, kitu pekee Chenye afya kwako ni furaha, tafuta pesa za kutosha wanawake wapo wengi na mkeo Baki nae maisha yasonge watoto walelewe na Baba na mama
Tafuta hela, Aziz Ki anakula mema ya nchi , elewa "hainaga shombo"Hiyo picha uliyotuma huyo pisi ni mali safi..