ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Wanaonyima wanaume zao, hawajui akili za wanaume vizuri[emoji23][emoji23]Na hawasemi [emoji23][emoji23]
Wanaonyima wanaume zao, hawajui akili za wanaume vizuri[emoji23][emoji23]Na hawasemi [emoji23][emoji23]
Nasaha zangu Kwa wanaume wenye wakeHii inawahusu wanawake wote walioolewa ambao ni wachoyo wa tendo la ndoa na waume zao.
Lady mpe tu haki yake mumeo kila anapohitaji, usimnyime kabisa.
Mfanye mumeo asiwe mtu wa kuchelewa kurudi nyumbani kwa kumpa haki yake bila masharti.
Usipofanya hivyo atakuwa anachelewa kurudi nyumbani kwa kupita kwa vimada wake
Kwa kumpa kila mara hakuna unachopoteza wakati mnajiburudisha wote na mumeo. Yaani hapo, wewe pia hupata faida za raha ya kupendeza, ni raha inayokufufua kutoka katika dhiki na kukupandisha hadi juu ya kilele cha mlima kilimanjaro.
Kumbuka, ulipokubali kuolewa naye, ulimpa haki za kisheria za mwili wako. Haijalishi kwamba mlifanya sherehe ya harusi au hamkufanya alipokuoa, we mpe tu hadi awasahau kabisa vimada wake. Agano lenu siku ya kuoana naye lilishuhudiwa na Mungu Mwenyewe (Mal 2:14).
Kumbuka huu usemi wa watu wazoefu ktk mahusiano usemao "njia ya kwenda kwenye moyo wa mwanamume ni kupitia chakula" maana halisi ya huo usemi ni hii "chakula kinachoshibisha na kuburudisha mwili na roho huimarisha afya" hivyo wewe na mwanaume wako mnaimarika sana kwa kutokunyimana.
Haijalishi udhaifu wa mumeo , kamwe usitumie mwili wako kumdanganya kuwa upo kwenye siku zako wakati sivyo.
Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe (Mithali 14:1).
Ukiwa mchoyo utatoswa, na ukitoswa usitafute mchawi.
Je upo tayari kuibomoa /kujenga nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe?
Ubarikiwe.
Wanaume wenyew Hawa Lia Lia😀Wanaonyima wanaume zao, hawajui akili za wanaume vizuri
Wewe mmeo ndo mchovuSiku hizi wanaume ndo wanao ombwa na wanawanyima wanasingizia kuchoka kazini sijui kwanini mambo ya mebadika kiasi hiki, hiki kizazi mambo ya mekua tofauti.
Wajichanganye tu[emoji3]Wanaume wenyew Hawa Lia Lia[emoji3]
Sisi ni social workers malalamiko dawati la familia yamebadilika complainants are men sio wanawake tena........hili halitokani kwa kukosa nguvu za kiume hapana ni behavior changes kwa upande wa wanawake ambao siwezi kueleza yote hapaWewe mmeo ndo mchovu
Haya nimekuelewaSisi ni social workers malalamiko dawati la familia yamebadilika complainants are women sio wanawake tena........hili halitokani kwa kukosa nguvu za kiume hapana ni behavior changes kwa upande wa wanawake ambao siwezi kueleza yote hapa
Hapa kweli kuna toleo jipyaWanaume hawahawa au kuna toleo jipya
NakaziaUtatoa yooote na bado atasaliti mwisho wa siku mwanaume anatulia akijisikia sio kwa kitu utachomfanyia
ninacho iiendea pesa, warembo wanakutongoza wenyewe,, yan unapewa upige penalty na golini goli kipa hayupowanaume tutafute hela, itatupunguzia kujieleza sana
dada punguza ukali waaneno😂, kwel uninyime mbususu nisilieWanaume wenyew Hawa Lia Lia😀
Aaliyyah Kama module ngapi za notes zitakazotosheleza My special wiiiii🤣🤣🤣👋Bado wanakuja na mengine hawamaLizag Hawa endelea kuchukua notes🤣🤣
wewe ushaolewa?Ni suala la Muda tu mtaoa tupo tumekaa Hapaí ½í¸
Bado Kuna mchongo nausikiliziawewe ushaolewa?
😂😂😂 Hamna uvumilivu kabisadada punguza ukali waaneno😂, kwel uninyime mbususu nisilie
hahahahahahaBado Kuna mchongo nausikilizia
Kweli kabisaWanaonyima wanaume zao, hawajui akili za wanaume vizuri