Usimnyime mume wako anapohitaji tendo la ndoa

Usimnyime mume wako anapohitaji tendo la ndoa

Hii inawahusu wanawake wote walioolewa ambao ni wachoyo wa tendo la ndoa na waume zao.

Lady mpe tu haki yake mumeo kila anapohitaji, usimnyime kabisa.

Mfanye mumeo asiwe mtu wa kuchelewa kurudi nyumbani kwa kumpa haki yake bila masharti.
Usipofanya hivyo atakuwa anachelewa kurudi nyumbani kwa kupita kwa vimada wake

Kwa kumpa kila mara hakuna unachopoteza wakati mnajiburudisha wote na mumeo. Yaani hapo, wewe pia hupata faida za raha ya kupendeza, ni raha inayokufufua kutoka katika dhiki na kukupandisha hadi juu ya kilele cha mlima kilimanjaro.

Kumbuka, ulipokubali kuolewa naye, ulimpa haki za kisheria za mwili wako. Haijalishi kwamba mlifanya sherehe ya harusi au hamkufanya alipokuoa, we mpe tu hadi awasahau kabisa vimada wake. Agano lenu siku ya kuoana naye lilishuhudiwa na Mungu Mwenyewe (Mal 2:14).

Kumbuka huu usemi wa watu wazoefu ktk mahusiano usemao "njia ya kwenda kwenye moyo wa mwanamume ni kupitia chakula" maana halisi ya huo usemi ni hii "chakula kinachoshibisha na kuburudisha mwili na roho huimarisha afya" hivyo wewe na mwanaume wako mnaimarika sana kwa kutokunyimana.

Haijalishi udhaifu wa mumeo , kamwe usitumie mwili wako kumdanganya kuwa upo kwenye siku zako wakati sivyo.

Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe (Mithali 14:1).

Ukiwa mchoyo utatoswa, na ukitoswa usitafute mchawi.

Je upo tayari kuibomoa /kujenga nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe?

Ubarikiwe.


"Yaani hapo, wewe pia hupata faida za raha ya kupendeza"

Ana sababu gani ya kukataa kama anapata raha na faida? Mapenzi kwa mwanamke ni zaidi ya kushindiliwa lile lijamaa, ndo maana kuna wakati anakataa maana kuna vitu ndo vinafanya atake na afurahie.
 
Unaweza kutaja hivyo vitu usaidie wahanga?

1. Hisia za mwanamke zinaendana na moment za wakati husika na mume, kama kuna kutoelewana kinachofuata ni ubakaji hata kama Hasemi.

2. Ili mwanamke afurahie Mahusiano lazima ahisi yupo safe na secured, na asiishi maisha ya wasiwasi kabisa, yani ucheze na saikolojia yake haswa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Me nawaza marejesho hapa uniambie sijui mfanyie hiki mfanyie kile na mtu haridhiki hapana kwakweli akirudi sawa asiporudi sawa vile vile Makiwendo auntie ebu njoo ucheke
Ila vicoba vinajua kukausha utelezi nyie🤣🤣🤣 Yani hata ushikwe wapi husisimki unawaza rejesho🤣🤣🤣
 
1. Hisia za mwanamke zinaendana na moment za wakati husika na mume, kama kuna kutoelewana kinachofuata ni ubakaji hata kama Hasemi.

2. Ili mwanamke afurahie Mahusiano lazima ahisi yupo safe na secured, na asiishi maisha ya wasiwasi kabisa, yani ucheze na saikolojia yake haswa.
Ni kweli kuna wajuba hawajuwagi kuchombeza yaani wao hukamatia tu na kuchomeka, hawa ni chachu kwa wanawake wahanga wa kubakwa.
 
Back
Top Bottom