Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #101
Umetumia andiko gani kutoa hizo nasaha?wewe mbake" hatapiga kelele Wala kwenda kushtaki poppt
Umetumia andiko gani kutoa hizo nasaha?wewe mbake" hatapiga kelele Wala kwenda kushtaki poppt
AtlYani umuoe mwanamke Kisha akunyime unyumba!!!???
duuuuh kumbe Kuna mengi siyafahamu
Umenenacomplainants are men sio wanawake tena........hili halitokani kwa kukosa nguvu za kiume hapana ni behavior changes
Siku hizi wanaume ndo wanao ombwa na wanawanyima wanasingizia kuchoka kazini
Nimenukuu kifungu hicho nikimaanisha "agano la wanandoa" waliofunga ndoa yao lilishuhudiwa na Mungu mwenyewe, maana yake ni kwamba ni ndoa halali.ni maonyo kwa wanaume wanaowatendea mabaya wake zao,na si hivyo Kama unavyotafsiri wewe....huo
🤓🤓🤓🙌🙌 Umejibu bana🤓🤓Wapo baadhi ila sio wote.
Idadi ya sensa iko wazi kwamba wanawake ni wengi zaidi, sasa ya nini kung'ang'ania K ya mkeo tu kama anakuchukulia powa?Niliisikia mzee baba kumbe yule waziri alikuwa ananyimwa unyumba na mkewe. Wakitunyima sie twachipuka tukitia mimba ajali kazini 😅
Ila yule naibu waziri ni pisi kali aisee 😋
Ukikuwa utayajuwa, tena analala uchi kabisa.Yani umuoe mwanamke Kisha akunyime unyumba!!!???
duuuuh kumbe Kuna mengi siyafahamu
Hakika hiyo PhD umeifanyia kazi sio ya kupewaIdadi ya sensa iko wazi kwamba wanawake ni wengi zaidi, sasa ya nini kung'ang'ania K ya mkeo tu kama anakuchukulia powa?
Na hawa wanawake wengine wakazwe na nani?
Ndo Sisi WenyeweWanaume hawahawa au kuna toleo jipya
Kwa hiyo utakaza kila mwanamke?Na hawa wanawake wengine wakazwe na nani?
Kaza kadiri uwezavyo, wanawake wanahitaji huduma yetu, kumbuka kuna mashoga pia kwahiyo idadi ya wanaume inapunguwa zaidi.Kwa hiyo utakaza kila mwanamke?
uvumilivu haram😂😂😂😂 Hamna uvumilivu kabisa
Daah hv kuna wanaume wanaombwa halaf wanakataaSiku hizi wanaume ndo wanao ombwa na wanawanyima wanasingizia kuchoka kazini sijui kwanini mambo ya mebadika kiasi hiki, hiki kizazi mambo ya mekua tofauti.
We unaamini maandiko ya dini Gani ili nijue kwanza kabla ya kukujibuUmetumia andiko gani kutoa hizo nasaha?
Na uzuri wake akijifanya kukukuruka ndio atakuwa anakukatia miuno[emoji16][emoji16]Umetumia andiko gani kutoa hizo nasaha?
Biblia TakatifuWe unaamini maandiko ya dini Gani ili nijue kwanza kabla ya kukujibu
Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
Huenda wapo ngoja tuchunguzeDaah hv kuna wanaume wanaombwa halaf wanakataa
Yani Wanamakusudi hawa Alafu Anaweza Kukutuma tuu makusudi anajua Kabisa Huwezi Kukataa DaahUkikuwa utayajuwa, tena analala uchi kabisa.