The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,333
- 122,257
Elon musk ameshaleta ufumbuzi wa hili tatizo,
So,relax.
So,relax.
Mungu hajatuagiza tufanye hivyo bwashee, acha kuwaza uzinifuTuwakaze tu na pesa tuwape hilo ndio muhimu.
Nyie piss za kimasai huwa sio Wachoyo 🤗[emoji1787][emoji1787] Auntie nimeuliza kama toleo jipya nitafute ila kama hawahawa hapana kwakweli watajijua wenyewe
Pingamizi mheshimiwa, wanaume wa wapi hao?! 😂 😂 😂 😂Siku hizi wanaume ndo wanao ombwa na wanawanyima wanasingizia kuchoka kazini sijui kwanini mambo ya mebadika kiasi hiki, hiki kizazi mambo ya mekua tofauti.
NAKAZIAAAAAAMwanaume anahamia mtaa wa pili kwa huduma.
Wameona Kweli hii?Mwanaume anahamia mtaa wa pili kwa huduma.
Kipochi kikianza kutolewa kwa masharti ya WB ndani ya ndoa huwa ni moja ya sababu kuu za usajili wa dirisha dogo ndondo cup.Ubarikiwe.
We ni mdau wa huo usajili?Kipochi kikianza kutolewa kwa masharti ya WB ndani ya ndoa huwa ni moja ya sababu kuu za usajili wa dirisha dogo ndondo cup.
Nilisha sitaafu mwaka wa 23 ndoani. Ndio maana tumebaki kuwaasa wadau wapyaWe ni mdau wa huo usajili?
Sawa mhengaNilisha sitaafu mwaka wa 23 ndoani. Ndio maana tumebaki kuwaasa wadau wapya