Usimnyime mume wako anapohitaji tendo la ndoa

Vatu ya DRCongo

Vatu ya mapenzi ,pamba na pombe

Toka mlivomdondosha mwanamapinduzi che quavala ,mngekuwa mliskiliza na kuacha starehe nakwambia hii vita ya msituni isingekuwepo Tena

msalimie naibu waziri wa elimu
Salamu zimefika papaa
 
Malaki 2:14-15,ni maonyo kwa wanaume wanaowatendea mabaya wake zao,na si hivyo Kama unavyotafsiri wewe....huo mstari waandikie wanaume wenzake waache kuwatendea Hila na hiyana wake za ujana wao,
Hebu nisaidie hapa msharika mwenzangu mama D umeelewaje huo mstari?
 
Mwanaume anayemhudia mkewe hanyimwi service bwana,,hapo lazima umtunze baba Kama anavyotunza familia,mwanaume kivuruge anyimwe tu hana faida😁😁😁
 
Ni kweli Joannah, katika hali ya kawaida mwanaume anayewajibika kwa mke wake mke hawezi kumnyima
Tatizo kubwa siku hizi wanaume wanaoa wanawake ambao sio wake zao, na siku hizi pia zimeinuka roho za ajabu sana ndani ya mahusiano. Zikimuingia mume au mke hata Ile appetite inakata

Yesu atusaidie sana
 
Mtu anao na kuolewa na mwingine Moyo na nafsi kaviacha kwingine!kweli Yesu aingilie kati
 
Mwanaume anaoa msambwanda akifika ndani anaanza kulalamika mwanamke mchafu, hana bajeti, hana heshma...... stim inakata anaanza kurandaranda kutafuta vipoozeo

Mwanamke anaolewa na pesa na mali, akishaingia kwenye ndoa anaanza kulalamika mwanaume hana maajabu, sijui kibamia, hafikishwi.....

Taabu tupu
 
Tutafika hoi!
 
Back
Top Bottom