Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #41
Wewe wewe weweeeeee, naomba upotezee tu hilo lengo.lengo langu kukusifia tu mkuu kama ni wewe😊🤗
Wewe wewe weweeeeee, naomba upotezee tu hilo lengo.lengo langu kukusifia tu mkuu kama ni wewe😊🤗
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha mama halafu uanze kukimbizana na mtoto wa mwanamke mwenzio kama kuibiwa aibiwe tuIla vicoba vinajua kukausha utelezi nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani hata ushikwe wapi husisimki unawaza rejesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawaWewe wewe weweeeeee, naomba upotezee tu hilo lengo.
Uzuri wao hata akiibiwa huwa hasahau njia ya kurudi nyumbani🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha mama halafu uanze kukimbizana na mtoto wa mwanamke mwenzio kama kuibiwa aibiwe tu
Kuna wanawake wabinafsi sana ,ukitaka kufurahia maisha oa mke anae kutegemea kwa kila kitu,hawa wa kusema tutasaidizana maisha, wewe unaenda kazin na yeye anaenda kazin jiandae kunyimwa uzeeni,mana ukistafu yeye anabaki kibaruani kwa mda1. Hisia za mwanamke zinaendana na moment za wakati husika na mume, kama kuna kutoelewana kinachofuata ni ubakaji hata kama Hasemi...
Tunawaita wachoyo, hawa wamekuja kwa kasi baada ya SSH kushika madarakaKuna wanawake wabinafsi sana
"Kuna wanawake wabinafsi sana ,ukitaka kufurahia maisha oa mke anae kutegemea kwa kila kitu"Kuna wanawake wabinafsi sana ,ukitaka kufurahia maisha oa mke anae kutegemea kwa kila kitu,hawa wa kusema tutasaidizana maisha ,wewe unaenda...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanajua nyumbani ni nyumbani watazunguka weeh lazima warudiUzuri wao hata akiibiwa huwa hasahau njia ya kurudi nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hauwezi kupewa kila unapotaka. Huo ndo ukweli...kumpa kila mara
Ndoani hakuna kubakwa.1. Hisia za mwanamke zinaendana na moment za wakati husika na mume, kama kuna kutoelewana kinachofuata ni ubakaji hata kama Hasemi...
Akininyima naenda kwa kimadahauwezi kupewa kila unapotaka. Huo ndo ukweli...
utoto raha sana.Akininyima naenda kwa kimada
Toleo jipya si kina Aggrey na James Delicious, kwan ndo ana maanisha hao Dear??Wanaume hawahawa au kuna toleo jipya
Na Kausha Damu pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila vicoba vinajua kukausha utelezi nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani hata ushikwe wapi husisimki unawaza rejesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]