Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,695
- 6,816
ni mkoa na nyumbani kwao marehemu Steven kanumba the great!
R.I.P
R.I.P
ni mkoa wenye wanaume malijali ..sio kama mikoa flani wanaume mpaka wanywe supu ya pweza na viagra ndo wapige shoo...wabheja sana.
karibuni shy
Ngoja Wasukuma waje
Mrembo Ngokolo sehemu gani tusalimiane tafadhali!Yap yaan wanaume wenye nguvu zao bwana ....bao moja tu hoi....sio wa mkoa fulan( ) mabao 6 kama umetekenywa akuuuu
Karibuni ngokoro yetu
Bidada mamboNi mkoa wenye watu wema, wakarim sana
Umesahau mara hii kuwa RC Mara na Arusha wameshatumbuliwa pia?Ni mkoa ambao mama kilango alisema hauna wafanyakazi hewa. Na ndo mkoa ambao mkuu wake wa mkoa ndo akiliyetumbuliwa pekee
Hujui Mkoa wenye vichaa wengi zaidi kuwa ni Dar? ,kv akina ScorpionNi Mkoa ambao una vichaa wengi...
Ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wa majungu kama weweNi mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Chama chakavu ndo kipi hicho? Kinachoongoza nchi au?Ni mkoa unaoongoza kwa kukipenda chama chakavu
Kukipenda chama chakavu+ Ujinga=Umaskini
Ni mkoa wenye wasaka not ucku na mchna kwa miaka ya sasaNi mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Kinehe ngoshaNi mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,