Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Poa mpenz....Bidada mambo
Poa mpenz....Bidada mambo
Hajui huyo mpe yote ntongeji wane!!!Chama chakavu ndo kipi hicho? Kinachoongoza nchi au?
Unajua nafasi ya Mkoa wa Shinyanga kiuchumi?
Unajua kuwa Mkoa wa Shinyanga una idadi ndogo ya kaya maskini(kaya 33,000), ukilinganisha na Kagera (kaya 66,000), Arusha (kaya 45,000), Mbeya (kaya 68,000), Mwanza (kaya 59,000). Upo hapo?
Ni Shinyanga pekee ambayo ukisema umetumia usafiri wa daladala maana yake umepanda Baiskeli sio daladala gari
Wewe usiuyataje hayo mazuri? Au na weye hauyaoni?acheni uongo, ina maana ni mabaya tu ya shy. Mbona ht mazuri yapo kibao. Omba omba wapo kila sehem,utaringanisha umbumbumbu wa Shy na dom? heri ht shy tuna majimbo ya upinzani. Hatushoboki na kofia za kijani wala nini.
Mtukome kbs.
Ujinga ni kumwangalia scopioni anatoa macho mwanaume mwenzio huku ukila.chipsi na mshikaki mmoja na unajiita mwanaume..Ni mkoa unaoongoza kwa kukipenda chama chakavu
Kukipenda chama chakavu+ Ujinga=Umaskini
Tuna zungumzia mkoa wa shinyanga mkuu siyo mikoa mingine. Ndiyo maana nikasema ndo mkoa wa kwanza Rc wake kutumbuliwaUmesahau mara hii kuwa RC Mara na Arusha wameshatumbuliwa pia?
Na wanaume wanaongoza kwa mikono ya swetaNi mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wa majungu kama wewe
Hujui kuwa Wajerumani huwa hawa taili?Na wanaume wanaongoza kwa mikono ya sweta
HahahahahaUjinga ni kumwangalia scopioni anatoa macho mwanaume mwenzio huku ukila.chipsi na mshikaki mmoja na unajiita mwanaume..
Ni Shinyanga pekee ambayo ukisema umetumia usafiri wa daladala maana yake umepanda Baiskeli sio daladala gari
Nani kapanic hapa. Ufinyu wako wa exposure unakufanya uonekane mshamba flani.Mbona umepanic? Shy siyo ujerumani Dogo. Kama unao nakushauri ukate
Hahaha, zile daladala ni kwere, ukute sasa ng'wanangosha kasimamia speed M10/SekNi Shinyanga pekee ambayo ukisema umetumia usafiri wa daladala maana yake umepanda Baiskeli sio daladala gari