Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Unapenda kusikia mazuri tu mabaya hupendi. Hakuna mazuri bila mabaya.
 
Nani kapanic hapa. Ufinyu wako wa exposure unakufanya uonekane mshamba flani.
Wewe hebu eleza faida zipi za kutaili na umefanyia uchunguzi wapi?
Acha propaganda zisizo na utafiti utaendelea kuwa mtumwa kifikra.
Wewe govi nini?mbona umewaka sana bro
 
Mkoa wa CCm huo
BAVICHA akili zenu baasi tu, kichapo cha oct 25.2015 kinawakuna mpaka sasa yaan mnahukum kila mkoa eti ccm, mgombea wenu ndiyo aliyewagharimu mtahukum watu bure they had their own choice, mnataka kuwalazimisha watu wamwabudu ngombale, ufipa buana
 
Ni mkoa ambao kazikwa Mwanamalundi (Bugoro)
Ni mkoa ambao una halmashauri za wilaya 2 mpya
Ni mkoa ambao baadhi ya maeneo kuona maji ni mpaka kipindi cha mvua..... utakuta kipindi cha kiangazi hadi maji wanachimba chini kwenye sehemu ambazo huwa yanapita ili wapate maji
 
Ni mkoa ambao nilipata elimu yangu ya awali, Nyahanga by then, Ahsante Mwl Lukago, Sekazoya, Mpigahodi & Paul
 
Hahaha, zile daladala ni kwere, ukute sasa ng'wanangosha kasimamia speed M10/Sek
Mie siku moja nilipanda mitaa ya VETA, kuna kamlima, mwishoe akawa wazi akaniambia naomba ushuke kidogo tumalize huu mlima halafu utapanda tuendelee na safari😀
 
Ni mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Unatujaribu?? Haki sisi hatujaribiwi tena koma kabisa kuleta fyoko fyoko na mkoa wetu
Najivunia kuwa mwanashinyanga
 
Ni mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Kwenye hilo LA umaskin, I beg to differ, wangapi huko shy hawawezi Ku afford Milo 2 kwa siku, wangapi wanashindwa kununua mahitaji ya lazima ukfananisha na DSM au coast?
 
Ni mkoa ambao ndio alikotoka aliyekua Mufti mkuu wa Tanzania marehemu Shehe Isa Simba Shaabani.
R.I.P
 
Back
Top Bottom