ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,844
- 60,774
Pia ni mkoa WA nne kuchangia pato LA taifa..
Kama una mazuri pia ruksa kuyaweka mkuu.Acha ulongo wewe...kwa hiyo umeona mabaya tu ya Shy?
Yap yaan wanaume wenye nguvu zao bwana ....bao moja tu hoi....sio wa mkoa fulan( ) mabao 6 kama umetekenywa akuuuuni mkoa wenye wanaume malijali ..sio kama mikoa flani wanaume mpaka wanywe supu ya pweza na viagra ndo wapige shoo...wabheja sana.
karibuni shy
Ndio mkuu kwa sasa maendeleo ya mkoa wa shy nimazuri sana hasa katika miundombinu.Miji yake inakua kwa kasi sanaNi mkoa wenye maendeleo na hali nzuri ya hewa,mungu ibariki shy,mungu ibariki stand united.
Upo Ngokoro sehemu gani...Nipo IbinzamatsYap yaan wanaume wenye nguvu zao bwana ....bao moja tu hoi....sio wa mkoa fulan( ) mabao 6 kama umetekenywa akuuuu
Karibuni ngokoro yetu
Vipi ulikuwa kwenye kikao cha RC Mwanri leo? Kwa sababu yeye ndio kasema haya maneno hapa TaborsNi mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Jimbo gani kwa mfano na mbunge wake ni nani na kutoka chama gani?!acheni uongo, ina maana ni mabaya tu ya shy. Mbona ht mazuri yapo kibao. Omba omba wapo kila sehem,utaringanisha umbumbumbu wa Shy na dom? heri ht shy tuna majimbo ya upinzani. Hatushoboki na kofia za kijani wala nini.
Mtukome kbs.