Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Nathani ndio mkoa wenye mapato makubwa sana kwa serikali yetu. Mana ndio migodi mikubwa sana ya madini IPO huo mkoa.
 
Kunaziwa linaitwa kitangili lipo mpakani na singida.mito inayo mitatu mikubwa ambayo ni kidalu,mhumbu na manonga.mito midogo IPO mingi sana

Ahsante kwa kunielimisha.
Tafadhali tupia na ramani tujue maenoe yalipo maziwa na mito tajwa hapo juu.
 
Ni mkoa ambao inatoka Tim ya wapiga debe ambao wana shika nafasi ya pili kwenye ligi
 
BAVICHA akili zenu baasi tu, kichapo cha oct 25.2015 kinawakuna mpaka sasa yaan mnahukum kila mkoa eti ccm, mgombea wenu ndiyo aliyewagharimu mtahukum watu bure they had their own choice, mnataka kuwalazimisha watu wamwabudu ngombale, ufipa buana
Sio kila mtu ni Bavicha utakua hauna akili...aiseee sina chama chochote kile ila nafahamu vitu va msingi
 
Mie siku moja nilipanda mitaa ya VETA, kuna kamlima, mwishoe akawa wazi akaniambia naomba ushuke kidogo tumalize huu mlima halafu utapanda tuendelee na safari😀
Hahaha, huyo alikuwa mchovu ase, pale VETA ukiwa unapandisha kwa kutokea Buhangija jamaa wanapiga pedal huku wamekaa kabisa.
 
Mkoa ambao uliwatoa wachezaji soka akina Nteze John Lungu,Edibily lunyamila,Mwinyimvua Komba "Masolwa"
 
Ni mkoa ambao zaidi ya disco Butiama hauna night club nyingine au wajuzi watasema Pale bakurutu hahah. Ila watu wa pale ni very peaceful, God bless them. Nilifanya kazi shy 2003-2006
 
Ni mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Ni mkoa ambao unaongoza kuwa na baiskeli nyingi
 
Mie siku moja nilipanda mitaa ya VETA, kuna kamlima, mwishoe akawa wazi akaniambia naomba ushuke kidogo tumalize huu mlima halafu utapanda tuendelee na safari😀

Na wewe uache ubahili, yaani kutoka mjini mpaka Kizumbi mbali hivyo kwa baiskeli? Safari nyingine utumie taxi!
 
Back
Top Bottom