Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

Ni mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
-Ni mkoa wenye daladala za baiskeli nyingi kuliko zote Tanzania.
-Ni mkoa wenye wanawake warembo na wenye bei rahisi Sana
 
Nani kapanic hapa. Ufinyu wako wa exposure unakufanya uonekane mshamba flani.
Wewe hebu eleza faida zipi za kutaili na umefanyia uchunguzi wapi?
Acha propaganda zisizo na utafiti utaendelea kuwa mtumwa kifikra.

Wewe ni Anna Annaeli?
 
Ni mkoa ulio toa vipaji vya wacheza mpira mahiri kwa mfano,

Seif Khalid,Ahmed Abbas ,Marehemu Alfred Kategire,Michael Paul (Nylon),

Paul John,Steven Nyenge,Edibily Lunyamila,Joseph Lubisha (Anyedo),

Deusi Pamba,Mwinyimvua Komba(Masorwa), Nteze John (Lungu).
 
Ni mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni,
Ni mkoa ambao ndani ya miaka 10 iliyopita ni miongoni wa inayoshika nafasi za chini kitaaluma
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya vikongwe
Ni mkoa unaoongoza kwa mauaji ya Albino
Ni mkoa ambao wakazi wake ni wafugaji wakubwa lakini wanaishi katika umaskini uliotukuka
Endelea.......................
Huna adab wewe.
 
Ni mkoa wenye wilaya(Kahama) yenye maendeleo makubwa kupita mikoa mingi hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom