Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,219
- 6,424
mkuu kwanini UD na UDOM msishow love,sabu nyie ndo tunawategemea.UDSM hewa
mkuu kwanini UD na UDOM msishow love,sabu nyie ndo tunawategemea.UDSM hewa
mi nimesoma udsm Bsc. in wildlife science and conservation nikwambie kitu shule ya udsm ni hatari hakuna kubebana na kupata ma first class ya uongo na ukweli pale kichwa yako ngumu unarudi kwenu af ukirud ndo unaanza kuponda mitandaoni ila wanaoponda udsm wengi walizingua advance mfano unakuta mtu ana div 1 pts 5 pcm anasoma telecom eng. coet af mwingine ana div 3 pts 14 anasoma telecom eng. UDOM sasa hapo nani kila.za? sema vyuo vyenu kubebana kwingi.mkuu kwanini UD na UDOM msishow love,sabu nyie ndo tunawategemea.
hapana mkuu,sio kweli mpaka leo iko chuo ni heshima ase ukienda pale usitegemee kubebwa wala mambo sio marahis kama vyuo vingne wanavofikiria.sema wanafunzi wa pale huwa hawalalamiki mara kwa mara,kama wengne ilivyo katika vyuo vyao pia mpaka leo chuo bado kinatoa products za wanafunzi wenye ubora.ila pia wanafunzi wao wenyew kuweka jitihada kwani nafas ya chuo haiwakilishi nafasi na uwezo wa kila mmoja mmoja mwanafunzi ni jitihada binafsi.UDSM ilikuwa zamani.
Miaka ya 70, 80, na 90.
hahahahahJipe moyo graduate wa chuo cha kata
UD-UDSMUD ni UDSM au UDOM
Eti home of Intellectuals..Amna mkuu,wat wa UDSM hawako ivo hata siku moja ukisikia home of intellectuals ndo pale.kwanin nasema ivo coz sis ni wastaarabu afu pia malecture wa pale hawafundish kukarir kama ilivyo kwa other universities pale wanafundisha kuelewa na ujasiri ndo mana hat mtu akisupp au kudisco huwaoni kulalamika sio kama wengne mtu anasupp moja tu utaskia oh mara chuo cha SUA kigumu kumbe nyie tu mnacomplicate....hawajioni wanaUD msiwaseme vibaya please.
Siku Hizi Google tu ikutimika vizuri inamzidi mtu anayemeza madesa hapo UDSMUDSM ilikuwa zamani.
Miaka ya 70, 80, na 90.
UD zamani siku hizi imejaa v i l a z a.Imekugusa? UD Kuna maboya wengi tu... Msijione miungu
nani asiejua kama siku hizi mnaongezewa course work?mi nimesoma udsm Bsc. in wildlife science and conservation nikwambie kitu shule ya udsm ni hatari hakuna kubebana na kupata ma first class ya uongo
home of 'used to be intellectuals'UDSM wengi wanakipenda ila hakiwapendiwachachewanaojielewa wanaojielewa. Home of intellectuals!
home of 'used to be intellectuals'
Truth Be Told.Hasira zako peleka TCU
KWELI MKUUU NAUNGA MKONO MTU AMBAYE HAJASOMA UD ABAKI KIMYAAseeh!! Ubora wa mtu co Jina la Chuo Kuna watu wapo vyuo visivyo na majina wapo nondo balaah!!! ila wengine Hapo hapo ni ****** Dr Benson Bana Mwalimu wa Political science yule yupo kwa maslahi ya walio juu yake ila Jamaa yupo njema kichwani kila Chuo ni bora ila waliopo ndio Vila.za na vipanga!!! All in all UDSM kama umeshasoma pale ubora wake utaujua tu hasa katika suala la academic Jamaa hawana mchezo kabisa!!! Km ukubali ckulazimishi una hakika ya kusema Hukatazwi!!!!!