Tulibhalega
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 501
- 392
Kwanza na-declare mi nimhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam
Pili nataka kukukumbusha kuwa dalili kuu ya msomi ni kumsikiliza msemaji bila kuonyesha kukerwa hata kama msemaji anafanya fyongo
Tatu nataka kukukumbusha kuwa wakati bana anafanya uchambuzi huwa anachambua kama profesa aliyebobea kwenye siasa ndio maana wanamtafuta kila kukicha
Tatizo lako unamsikiliza prof bana huku ukiwa tayar una mawazo yako tofauti juu ya kitu hicho hicho hivyo huwez kumwelewa kwa kuwa unaufanya ubongo wako uwe domant
Mwisho unaonekana una chuki binafai na chuo kikuu