Usilie,pole dada uliyataka mwenyewe

Nimekuelewa sana!
 
Mkuu...hizi hasira kama umesema hapa ndiyo kidogo basi ukikasirika kwa speed ya 50 km/h hakuna wa kukushika

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu...hizi hasira kama umesema hapa ndiyo kidogo basi ukikasirika kwa speed ya 50 km/h hakuna wa kukushika

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hahaaaah, hamna mkuu, ila tu hili jambo limemtokea ndugu yangu kabisa, na huko mtaani yanaendelea kila siku
 
Hahahaha mkuu nimechekaaa
am better here
 
Fanya kama Diamond mwanamke uliyenaye ktk mahusiano hana umiliki hata wa macho kuona ktk mali zako...siku mnaachana ababeba kunguni wake anasepa....shida huwezi kufunga ndoa na mtu kisha ufanye hivi na ndiyo maana nahisi hataki mambo ya ndoa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
N
NA wanaume wachepukaji pia inawahusu
Uchepukaji wetu sisi ukiushuhudi unatia simanzi zaidi..mara nyingi unakuta mkeo anamzidi kila kitu mchepuko..aah ndo hivyo mi c mambo zangu sizizungumzii ki viile.
 
Huyu kweli aliyataka
Mijitu Kama hii ndo huwa inatutengenezea CV mbaya wanawake wote tuonekane mashetani

Ndoa Ni baraka,ndoa Ni neema jamani
Ukipata mtu wa kukuoa tulia.

Out of Mada:
Huwa namsubiri uyo future husband wangu jaman[emoji7][emoji7],atakae nioa...nitatulia tuli nimpende Hadi achanganyikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano nikijenga nyumba halafu baadae nikaja kuoa , hapa kisheria nyumba itahesabika ni yangu peke yangu au yetu sote (mume na mke)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…