Usilie,pole dada uliyataka mwenyewe

Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke ktk uchepukaji. Mwanaume huchepuka kutimiza haja zake muda na kamwe haondoki na akili zake zote, kama ana mke atabaki kumheshimu na kumpenda kama kawaida. SASA kwa mwanamke akichepuka anajibeba mzima mzima na akili zake na upendo wake...kifuatacho ndani ya ndoa ni dharau, matusi n kelele zisizo na maana yeyote ile!

Hata zama za kale ktk maandiko mwanaume alioa mwanamke zaidi ya mmoja, ila haijawahi tokea mwanamke akolewa na wawili kwa wakati mmoja.

Ktk maandiko wanawake waliokuwa na uhusiano na zaidi ya mume mmoja wanajulikana kama MAKAHABA.

Sasa wewe mwanadada unayechepuka na una mume wako wa ndoa, tukuiteje zaidi ya Kahaba?
 
Mwanamke mpumbavu ataibomoa nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sukuma ndani huyo mwanamke[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa iyo kila mchepuko una ukimwi!!?, mbona mnatukosea heshima sisi michepuko bhana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa hasira ila yana ujumbe wa mhimu sana wanawake wajifunze uchepukaji siyo dili zaidi ni kujiharibia maisha tu.
Wanawake wachepukaji badiliken

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji107][emoji107][emoji107]upo nje ya key ya mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ndio maana mimi nataka nijenge tu walau chumba kimoja halafu ndio nioe lakini sio kuoa halafu mjenge wote then alete upumbavu no.
 
Kwa wanaume,mke wa kuoa usiangalie kwa sura au shepu;ni bora utafute shapeless atakayekuheshimu na kukupunguzia majanga ya namna hii.
 
Wakuu ndio maana mimi nataka nijenge tu walau chumba kimoja halafu ndio nioe lakini sio kuoa halafu mjenge wote then alete upumbavu no.
Kaka tena ni bora uoe halaf mjenge pamoja ili nyote mjue uchungu wa mlichokitafuta.
Maadam umefunga nae ndoa siku akienda mahakaman mtagawana sawa mpaka vijiko bila kujal ulitafuta mali peke yako.
Suala la nyie kuwa mke na mume na mna watoto ni kabali tosha ya kukukaba 50% kwa 50%
Omba tu Mungh haya ayapitishe mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…