Usikubali kuliwa hivi hivi

Usikubali kuliwa hivi hivi

Hahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.

Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.

Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.

Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
Unazidi kumtumia tu mpaka leo hamjaonana
 
Back
Top Bottom