Kbsa binti mwema ..zinaa ni ya kukimbia wala si ya kukemeaIkimbieni zinaa
Oooh okay bado bwana hajatenda muujiza? Au ubavu wako ulishapikiwa supu?Hapana bado sijaoa Evelyn Salt
Amen.Ubarikiwe pia binti mwema..yafanyie kazi hayo utapata mema
Ukitubu utasamehewa lakini sio ufanye kwa makusudi kwa kusingizia kwamba utatubu.mchungaji hata nikitubu zambi hii sitasamehewa kwa Mungu
Hahahaha! Hapana binti mwema ..wakati tu haujafikaOooh okay bado bwana hajatenda muujiza? Au ubavu wako ulishapikiwa supu?
Mchungaji kwakua hujaoa, ukihisi vi hamu hamu huwa unafanyaje?Hapana sina kichaa ndugu, bali anayezini maana biblia inasema aziniye na mwanamke hanaa akili kabsa maana afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yake
AmeeenKbsa binti mwema ..zinaa ni ya kukimbia wala si ya kukemea
Ni sawa kbsa mkuu si vyema kutenda dhambi yoyote kwa kukusudia kwa kusingizio cha kutubu maana imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wakoUkitubu utasamehewa lakini sio ufanye kwa makusudi kwa kusingizia kwamba utatubu.
Amina mtumishi, wakati ukifika naomba ufunguliwe kwanguHahahaha! Hapana binti mwema ..wakati tu haujafika
Duh!!Oooh okay bado bwana hajatenda muujiza? Au ubavu wako ulishapikiwa supu?
Ubarikiwe sana mpendwaSawa....
Waliokusudiwa watakujaHahahaha! Hapana binti mwema ..wakati tu haujafika
Hadi padriDuh!!
Hii jf ni kiboko..
Mpaka mchungaji anapigwa msako.
Swali lako ni zuri sana , ukihisi vihamu wewe funga na kuomba vitakimbia vyenyeweMchungaji kwakua hujaoa, ukihisi vi hamu hamu huwa unafanyaje?
Inatakiwa utupe mbinu wanakondoo jinsi ya kuikimbia hiyo dhambi
Nawe pia mpendwa....Ubarikiwe sana mpendwa
Hahahaha! Binti hilo jambo huwa halina kanuniAmina mtumishi, wakati ukifika naomba ufunguliwe kwangu