mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 404
- Thread starter
- #61
Roho wa Mungu haja semaMchungaji changamkia hiyo fursa chapu chapu, Evelyn ni mrembo sana!
ndani yangu
Roho wa Mungu haja semaMchungaji changamkia hiyo fursa chapu chapu, Evelyn ni mrembo sana!
ahaaa huu ni mtihan zaid ya sup....jamani. khah. kwa hiyo wote waliocoment wanataka kuolewa. ndoa ni bahati.
Huyu mchungaji kwa kuchangamkia fursa ni hatari!!Nimesha kuja na nimemjibu
Subiri apate kibali kwanzaMchungaji changamkia hiyo fursa chapu chapu, Evelyn ni mrembo sana!
Haya mengine ni yake Mimi haya nihusu rejea kwenye mada mkuuWewe acha hizo, si wote wasemao bwana bwana watauona ufalme wa.... Je hapa Sakayo alikuwa anafanya nini : Ref Kila tukiwa faragha na mchumba uume unasinyaa ghafla
Sio msako pekee amealikwa kuoaDuh!!
Hii jf ni kiboko..
Mpaka mchungaji anapigwa msako.
Amina mtumishi, wakati ukifika naomba ufunguliwe kwangu
UzinziNje ya ndoa!unaitwa uasherati.
Ubavu wangu sijui nao umepikwa mchemshoNdiyo huwa nafanya hivyo mwili ukiutesa kwa njaa unaondoka na tamaa za uzinzi..kama unaona tamaa inakuja Mara kwa Mara ni vyema ukaolewa au kuoa
Mkuu mawazo yako haya wazi memaHuyu mchungaji kwa kuchangamkia fursa ni hatari!!
Mchungaji changamkia fursa hiyo!!........ Natamani ningekuwa ndo mimi!Hahahaha! Binti hilo jambo huwa halina kanuni
Yeyote anayefanya tendo la ndoa nje ya ndoa anafanya jambo linalomchukiza Mungu...acha Mara moja
Hata wewe ni mlaji tu, hizi mbwembwe tuHaya mengine ni yake Mimi haya nihusu rejea kwenye mada mkuu
Nipo.... Mamboz?Uliadimika mwalimu
Hayo ni mawazo yako potofuHata wewe ni mlaji tu, hizi mbwembwe tu
Nawe kuwa mchungaji😀Mchungaji changamkia fursa hiyo!!........ Natamani ningekiwa ndo mimi!
Mtasalimia baada ya somo pleaseNipo.... Mamboz?
haya bwanaahaaa huu ni mtihan zaid ya sup....
Yaani mwalimu umeshindikana wewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ni kweli nitaliombea lije kwangu, sema Amina tafadhali
Ubavu unaozungumziwa hapa siyo huwa wa kutengenezea supuUbavu wangu sijui nao umepikwa mchemsho
padri mwenyew jumapili huwachunga kondoo wake na mwishon ana point yupo vizur usiulize what next waliosoma seminary wanamajibu tosha...haya bwana