Jamani waungwana, najishangaa? Wapi tena hapa?
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,153 9,018 Sep 19, 2011 #2 Usiku??? Hapakazi kwa kweli .. Karibu..
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 24,652 5,410 Sep 19, 2011 #3 Acha kujishangaa wewe.Karibu sana.
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,095 6,321 Sep 19, 2011 #5 Hapa ndipo palipoungua shoka ukabaki mpini...umetokea wapi ww..
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,770 6,521 Sep 19, 2011 #6 www.jamiiforums.com ndio ulipo.. karibu sana
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,998 1,156 Sep 19, 2011 #9 Naona giza limekuzingua umekosea njia... haopa sio ulipopakusudia, ni kwa jirani ndiko ulikotaka kwenda, Nisubiri nimalize kazi nitakusindikiza wka maana mi napafahamu fika. wakati unasubiri, karibu kahawa
Naona giza limekuzingua umekosea njia... haopa sio ulipopakusudia, ni kwa jirani ndiko ulikotaka kwenda, Nisubiri nimalize kazi nitakusindikiza wka maana mi napafahamu fika. wakati unasubiri, karibu kahawa
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,169 2,996 Sep 19, 2011 #10 Mmh! Watu wengi jamani! Karibu jamvini.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,812 12,406 Sep 19, 2011 #11 Unashangaa nini? Vuta siti hapo ukae utulie.
B bitimkongwe JF-Expert Member Oct 21, 2009 4,569 2,563 Sep 19, 2011 #12 Hapakazi nakuitikia kiluguru 'mchanaaaa.....'