herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,301
- 3,987
Waungwana naomba msaada
Chooni, chota kinyesi, kichemshe tayari acid hioWaungwana naomba msaada
Ya nini na kiasi ganiWaungwana naomba msaada
Umemjibu kitalaamu sanaYa nini na kiasi gani
Hata chini ya Robo lita tu, nnakazi nayo maalumYa nini na kiasi gani
Anaweza kutengenezaKuna kiwango Fulani kikizidi ni mpaka upate approval ya vyombo vya usalama.
Upo wapi mkuu na unataka kiasi gani na Je ? unataka diluted au concWaungwana naomba msaada
Naweza kukupatia lakini kwa kibali maalumHata chini ya Robo lita tu, nnakazi nayo maalum
Nenda duka la wajasiria mali (maduka wanayouza vitu vya kutengenezea sabuni ya maji mishumaa vitenge.Waungwana naomba msaada
Hcho unachofikiliaMhnhnm unataka ufanyie nini ?