Hahahaha[emoji23][emoji23] yaani unataka kwenda kumuona bilionea bure
Ujinga mtupu
Huyu mzee hizo hela bado hazijafika? Au masaa 48 hayajafika
Huyu mzee ana stress
Kitaalamu hizo mbwembwe zinaitwa expansion joint hazina madhara kwa afya zinausaidia ubongo kupumuaKumbe nimegundua hakuna nchi duniani yenye watu wanye furaha kama bongo...
Mara ukipita huku wakuta na kigodoro watu wanafurahi, ukirudi huku fiesta, ukikatiza huku show ya makonda mcty hujakaa sawa ya kumpongeza dr shika kushinda mnada japo nyumba hakununua...
Twende kazi tz ya viwonder ndiyo ya awamu hii
Acha wivuUjinga mtupu
Huyu mzee hizo hela bado hazijafika? Au masaa 48 hayajafika
Huyu mzee ana stress
Na kweli hahaha expansion jointsKitaalamu hizo mbwembwe zinaitwa expansion joint hazina madhara kwa afya zinausaidia ubongo kupumua
[emoji23][emoji23] yaani unataka kwenda kumuona bilionea bure
Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017
Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda mnada wa nyumba za Lugumi
Watu kuanzia Elfu nne mpaka elfu tano wanatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo pia Mgeni rasmi wa Halfa hiyo atakuwa ni aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha
Pia kutakuwa na bendi ya twanga pepeta juma nature na wasanii wengine mbalimbali kama wa bongoflava n.k
Unaweza kumsikiliza waandaaji na Dr.Shika mwenyewe hapo chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KUANZIA MGENI RASMI,WAANDAAJI, WATU WATAOENDA ITAPENDEZA WAKIPIMWA MKOJO.HUU NI UJINGA.NINGEKUWA MAGU NASUBIRI UKUMBI UMEJAA NATUMA FFU WAKAWACHUKUE WOTE PELEKA SHAMBANI WAKALIME
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
9 dec si itakuwa ni sikukukuu waache wafurahie siku ya uhuru wa tanzania ya viwonder