Usiku wa 900 itapendeza na Dr.Shika 9 Desemba

Hakika tz ya viwanda na expansion joint, tutafika kweli? Mwendo kasi nao una expansion joint?
 
Kumbe nimegundua hakuna nchi duniani yenye watu wanye furaha kama bongo...
Mara ukipita huku wakuta na kigodoro watu wanafurahi, ukirudi huku fiesta, ukikatiza huku show ya makonda mcty hujakaa sawa ya kumpongeza dr shika kushinda mnada japo nyumba hakununua...
Twende kazi tz ya viwonder ndiyo ya awamu hii
Bariiida!afu wajinga wanadai hatuna furaha!tchaaa!hapa ukifa,zako zimefika tu.au umeamua kuwa mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom