usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

kiukweli sijutii kununua dongle toka kwa munjy1,kwani decoder hii imenipa burudan zaid kuliko nilivyotegemea.

ubunifu ndo swala la msingi,decoder n mpeg4 hd,nimekula pay tv vyakutosha,game mbili tu zilitosha kurudisha gharama ya pesa nlonunulia!

kwasasa nakamua fta zisizo na idadi hadi chanel znazofunguka kwa keys nabugia zoote!

decoder ya makaburu iko mvunguni mpk hapo bdae.
naona munjy1 kaniletea mapinduz na burudan kwangu.

LONG LIVE MUNJY1
 
Last edited by a moderator:
Kaka Ibra lazima ujue kuna watu categories tofauti kuna wengine wanaacha Premium ya DST> kuja kuendekeza hivi vidude na kuna wengine watumiaji wa startimes unaamua kufunga hiki kidude....
Kumbe kwa yule aliyezoea premium akifunga hiki kidude lazima hakione magumashi....ila ukweli kuna wengine wanavi-enjoy mfano mimi naki enjoy maana sitegemei kufunga DST> ya makaburu mpaka nakufa nenda kwenye forums za Facebook uone watu walivyo ridhika na hali hiyo...
Hivo wewe fanya maamuzi kama unataka kununua nunua ili mradi wameshakwambia unaweza kuona mwezi mzima bila usumbufu lkn siku kikizima hata week we kubaliana na hali maana kitu chenyewe kinauzwa kwa hela ya kutupwa ukilinganisha na level ya enjoyment utakayo pata(neglecting frustrations kikiwa down)



Kaka hivi vidude vina account ya mwaka lakini sio kwweli kwamba mwaka mzima utaona picha there is no even 75% server uptime Guarantee



Huu sio uchafu mimi nimefunga kwangu maana nina Unlimited internet na stream Bein sports zote,naweza kuangalia video youtube ila interst yangu kubwa ni IPTV sikosi match hata siku moja
Ukiwa na hivi vidude ni kuwa creative mimi kwangu nimefunga dish moja kubwa lina LNB nyingi tu moja ya DST>, nyingine kwa ajili ya channel ya IRIB ambayo huonesha soka za Ulaya maana sitaki frustration kuangalizia ball kule SS3 maana inaweza zima na pia nimefunga LNB nyingine napata Local channels bure kabisa maana ni FTA

Kumbe hivi vidude haviwezi kemewa maaana ni FTA receiver sawa na FTA kama Wiztech,Astrovox na SRT/stong decoders



When you invade someones system expect one day you will be knocked out
Sasa nakushangaa unanua kitu cha kuchakachua bila kujua Risk side ya hivi vitu
Anywayz kuwa mbunifu itumie kuangalia FTA IRIB wanaonesha channel nyingi sana za mpiara na kombe ladunia zitakua nyingi kama sio zote



Kaka go ahead wasikukatishe tamaa kama hauna uwezo wa Kulipia DST> premium hivi vidude utavi enjoy na zaidi yaa yote kama umefunga dish la foot sita na kuweka LNB ya Local channels na DST> utafaidi maisha hakuna mfano vikiwa hewani utafurahi unatajenga heshima kwako vikizima unaendelea kuangalia Local channels
Isitoshe receiver za QSAT zimeimarishwa hivo huduma kuanzia leo ni nzuri kuliko maajabu
usifate maneno ya watu take risk hautopoteza chochote maana ni MPEG4 ya kisasa inaweza kuweka BISS Keys,CCcam.Newcamd/Mgcad unaweza kuangalia IPTV na youtube na yOUPORN ni wewe kuwa creative



Kila mtu kapewa akili na utashi kwa nini umkatishe tamaa mtu mwenye nia
Zaidi ni wewe kumuonesha DARK side pia na kumuonesha POSITIVE side ya hivi vitu na sio kumshika mfukoni kwa hela yake....
Unapovamia system ya mtu e.g kuangalia dst> bila uhalali lazima utegemee na wenye AKILI siku zote kabla ya kununua nauliza anaelekezwa



Kaka kuwa creative kama wakenya nenda kwenye Pinned posts kule uone wakenya walivyo wabuninifu kwa nini tutegemee tu PAY TV wakati na FTA ziko tena nzuri
World cup si ajabu ikaoneshwa baadhi ya match mpaka CCTV ambazo ni FTA
Ukinunua hivi vidude lazima uwe na Alternative kama kufunga FTA ili usikatiiwe na matngazo



Hivi vitu vitamu sana vikiwa hewani
Kwa wale ambao hatuwezu kulipia DST> tumeridhika kabisa
Hela niliyotoa na ninachokiona vinaendana kabisa



Pole sana kwa kugombana na kaka yako lakini kwa nini haukumueleza kuwa kuingia katika sytem ya mtu kuna siku unaweza kushushwa


Mara ngapi mtu ameenda CRDB akaambiwa system iko down tena una shida kubwa na isitoshe ni jmosi labda ndo siku hiyo uko free wakakwambia urudi jumapili....

je kama system ya hela yenyewe inaenda down isiwezekane vipi kwa system ya dongle inayochakachua DST>

Mbona TANESCO wanazima wanazima umeme tena kwa mji wa viwanda kama Dar na umeme ndo mtaji wa watu wengi hapa mjini mbona tunavumilia na ukirudi tunaendelea na maisha

NO SYSTEM CAN BE 100% EFFICIENT acheni longo longo kama sio wasomi vile atimes a system must go down for better services

mia mia mwanangu njunwa wamavoko . wewe munji na paje ni moto wa kuotea mbali. mijitu haina uwezo wa kufikiri, hawapo creative , halafu wanataka kutegemea dongle pekee. wachovuuu
 
Nimekuja hapa kwa sababu kuna watu wawili wameni mention kwenye hii thread...

Kama unajua matumizi ya JF mtu anapoku mention unapokea notification na mtu anakua na malengo uje usome na kuchangia kinachozungumzwA

Nimekuja hapa kuwaelewesheni na hii ndo Quote yangu ya mwisho naomba mtu asini tag wala kuni quote maana nime unsubscribe katika hii thread

wenye kusikia wamesikia na kuelewa maneno yangu

-------------END----------
babu keep it up njunwa wamavoko kuwapa elimu. achana na hao wasioelewa tech. wanofunga ki dongle pekee bila ya fta. kikigoma wanalalama kama wari waliovunjwa bikira
 
dah yani ela umekula na bado unasema tuna maneno ya kifedhur dah ubarikiwe na uongezewe ulipopungukiwa wengne matus hatuwez. asante sn.

tatizo umekosea kutumia dongle. dongle haitumiwi kama ni primary source of your TV. weka na fta. huelewi tu
 
kosa vtu vyote pewa UPEO, fedha za uswis wap na wap na haya? yote ya yote username yako tu tayar inaonyesha kuwa upo kundi la mbwa mwitu. hapa hakuna michakatoh nenda vijiwen huko.

wewe ndio huna upeo.
tena umejaa wivu.
hoja zako na mashambulizi yako dhidi ya munji yapo kama wale wa buguruni na uwanja wa fisi, waliofanyishwa kazi kisha wasilipwe chao.
unalalamika kwa kununua dongle?? shame on you
 
Utapeli ni pamoja na kutoa maelezo ya uongo ili kurahisisha uvunaji wa fedha halamu! Mfano tangazo hili unawapa uhakika kua utendaji kazi utakua 100% wakati ni 40% tena kwa mazabe. Kuna ----- amemtaja Arselona anauza strong kwa 250k, ni bora ununea hiyo maana hamna ulaghai.

strong na qsat zinafanana??
qsat ni jembe la uhakika na unapata kwa bei nafuu.
huo wako sasa ni WIVU au HASIRA ?
 
Naona unajiamini sana ukidhani bongo hamna sheria za kukamata watu wanaofanya crime kama hizi, pole sana, unadhani bongo wamekaa tu wanakutazama kila siku hawajui trend ya crimes in technology zinavofanyika, this is 2014 hatuishi miaka ya nyuma, unakamatwa na unafunggwa au kulipa fine ya miaka mingi tu... Kwanza hujui kutrap signals zao kwa chombo kingine tayari umeviolate terms zao kua zinaruhusiwa kwenye mitambo yao tu, tusiende mbali hiyo tu inatosha kukukaba vizuri sana.. afu haitoshi hii system inachofanya ni kubypass kwa kutumia account za wengine, hilo nalo linakufunga kirahisi mno maana sheria inasema one account kwa mtu si kwa kila raia....

Kama unahusika na sheria afu umeuliza hilo swali acha kazi nenda katafute kazi nyingine maana hujui sheria, hii wanasema watu wa mtaani wanaojipa moyo kua watafanya crimes za kijinga wasikamatwe... Any hacking bongo yaweza kukufunga, usidhani ati hatuko advanced sana kuandika kitu kama hicho kwenye sheria...

umeambiwa utaje kifungu cha sheria . hilo gazeti uliloliandika hapo halina jibu. toa kitu short and clear. kifungu gani cha sheria??
 
Inaonekana reasoning capacity yako ni ndogo sana we mpemba
unahalalisha upuuzi wako kwakuwa Tanesco na dawasco huwa wanakata?
Tanesco na dawasco kunasababu za kukata lakini vikopo vyako vinakatwa kwakua vinaiba period
Halafu uajisifu eti unasaidia watu? gawa bure basi....njaa zako ndio zimekusukuma kufanya hivi na si msaada kwa watu

wacha ubaguzi. UNA violet JF terms of use.
 
Acha kutufanya watu wote humu mafala we kilaza
ulipotuuzia G6 ulituambia acc za mwaka mzima tena kwa mbwembwe. leo unajitia wazimu umesahau
Tumemaliza miezi 6 ukabili kauli unataka tununue tena unatudirect kwa njunwa manyoko.......huu sio utapeli
uliapa na kutuhakikishia g6 haitakaa ife kama makopo mengine kiko wapi wapi sasa, kopo linaonyesha kama bahati na sibu
Acha kufanya watu wajinga ban

yeye kilaza halafu kagonga wewe ??
ina maana wewe ni kilaza zaidi.
halafu kama sio ---- mbona umeingia kichwa kichwa kununua hicho ukiitacho kopo?
mafala ndio wananunua makopo kama ulivyofanya wewe
heshima kitu cha bure wee mbaguzi wa kabila
 
umeambiwa utaje kifungu cha sheria . hilo gazeti uliloliandika hapo halina jibu. toa kitu short and clear. kifungu gani cha sheria??

Hizi ni statement za mjinga asiyejua chochote kuhusu mambo ya sheria, anachotaka yeye ni kifungu cha sheria tu... afu unajua gazeti wewe? akili zako ziko kwenye makalio we jamaa, nilichokisema hapo jaribu kukielewa jibu liko sahihi kabisi acha kufikiria kwa kalio unaingialia conversation ambayo huusiki.. watu maskini utawajua tu wanawaza wizi siku zote na wanautetea
 
strong na qsat zinafanana??
qsat ni jembe la uhakika na unapata kwa bei nafuu.
huo wako sasa ni WIVU au HASIRA ?

Wewe utakua umejua ulimwengu wa sattelite juzi na kama ungekua mkongwe basi ungejua kua "strong ndio receiver bora kabisa hapa duniani tangu awali hadi leo ndio maana hadi leo bei zao zipo juu na bado watu tunanunua" Nimesema Arselona anauza bila utapeli maana anasema wazi anauza kama FTA ambazo unaweza kuzifanyia utundu, hivi haujui kua hutoa software mpya?
 
Last edited by a moderator:
Kupungua kwa gharama za internet kumenifanya niangalie mechi live mtandaoni bila chenga......
 
munjy 1 munjy1 munjy1 badili jina na biashara mkuu..haaaaha haaaha haaaha

JF imenipatia umaarufu mkubwa TZ safi kabisa. Muimbaji wa bongo flava anakwambia take it easy umaarufi haupatikani bure mpaka uwe bizeee.
 
munjy1 ni brand name kubwa sana tena iliyoaminika sana hapa JF hivyo ingekua vizuri kama ungekaa na wateja wako ukajua kua tatizo ni nini? kisha ukalimaliza. Mfano %kubwa wanalalamikia akaunti ulizoahidi utatoa bure ila ukabadilisha hivyo wakati mwingine kubari hasara kwa kuthamini ahadi yako kwa kutokufanya hivyo kweli wengi watakuona tapeli. Kweli g6 haipo hewani ila lawama hizi zisingekuepo iwao ungetimiza uliyo ahidi. Hata kutokimbia huu uzi inaonesha umakini wako hivyo bado tunaamini utarekebisha kosa
 
Last edited by a moderator:
munjy1 ni brand name kubwa sana tena iliyoaminika sana hapa JF hivyo ingekua vizuri kama ungekaa na wateja wako ukajua kua tatizo ni nini? kisha ukalimaliza. Mfano %kubwa wanalalamikia akaunti ulizoahidi utatoa bure ila ukabadilisha hivyo wakati mwingine kubari hasara kwa kuthamini ahadi yako kwa kutokufanya hivyo kweli wengi watakuona tapeli. Kweli g6 haipo hewani ila lawama hizi zisingekuepo iwao ungetimiza uliyo ahidi. Hata kutokimbia huu uzi inaonesha umakini wako hivyo bado tunaamini utarekebisha kosa
Nimewa pm baadhi yao kwamba wanitumie serial namba zao na email zao ili niwatumie account nakwenda ma group by group ila naona wengi wanataka mambo ya ki------- wanataka niwaambie kwa sms. Nadhani hawaelewi lengo la pm ili nisije nikatoa account kwa watu ambao sio ila wanaendelea kunitusi hata pm sasa nadhani nitakuja kukasirika niache watu waendelee kupata maumivu tu na waendelee kutukana mimi matusi hayanipunguzii kitu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Nimewa pm baadhi yao kwamba wanitumie serial namba zao na email zao ili niwatumie account nakwenda ma group by group ila naona wengi wanataka mambo ya ki------- wanataka niwaambie kwa sms. Nadhani hawaelewi lengo la pm ili nisije nikatoa account kwa watu ambao sio ila wanaendelea kunitusi hata pm sasa nadhani nitakuja kukasirika niache watu waendelee kupata maumivu tu na waendelee kutukana mimi matusi hayanipunguzii kitu mkuu.

ki..... tayar ni tusi hilo. narudia tena huwez delete namba za wateja wako km haujamaliza kuwapa haki yao uliyowaahidi. ni kwel haupungukiwi kitu ila laana ya utapel hata miaka ijayo inaweza kukutesa. km ulikua unatoa update kupitia simu iwaje leo uje pm kutuomba namba zetu eti utupe akaunt. we ulisema unakumbukumbu zote za rcva ulizouza sasa utakoseaje kumpa mtu akaunt yake wakat ni kitendo cha kuconfirm kwa kutumia hzo kumbukumbu zako. na asie na access ya JF hiyo haki yake ataipata wapi? weka tangazo hadharan kuwa wale wote uliowauzia g6 unawapa akaunt bure watu tutakupgia simu tukupe serial no na email. rcva tuliuziana hadharan na mawasiliano ya simu then akaunt unakuja PM na namba zetu eti umefuta sasa unafuta no za wateja wako bila kuwajulisha kuwa unaacha biashara? unajichanganya sn kaka. weka tangazo tukupigie simu, tukupe email utume akaunt kwa wote uliotuuzia.
 
ki..... tayar ni tusi hilo. narudia tena huwez delete namba za wateja wako km haujamaliza kuwapa haki yao uliyowaahidi. ni kwel haupungukiwi kitu ila laana ya utapel hata miaka ijayo inaweza kukutesa. km ulikua unatoa update kupitia simu iwaje leo uje pm kutuomba namba zetu eti utupe akaunt. we ulisema unakumbukumbu zote za rcva ulizouza sasa utakoseaje kumpa mtu akaunt yake wakat ni kitendo cha kuconfirm kwa kutumia hzo kumbukumbu zako. na asie na access ya JF hiyo haki yake ataipata wapi? weka tangazo hadharan kuwa wale wote uliowauzia g6 unawapa akaunt bure watu tutakupgia simu tukupe serial no na email. rcva tuliuziana hadharan na mawasiliano ya simu then akaunt unakuja PM na namba zetu eti umefuta sasa unafuta no za wateja wako bila kuwajulisha kuwa unaacha biashara? unajichanganya sn kaka. weka tangazo tukupigie simu, tukupe email utume akaunt kwa wote uliotuuzia.
We huna G6 wala G7 usinipotezee muda waulize wenzako wangapi nishawatumia account zao bure?? Hivi unadhani mie nimeanza kuwapa account leo au jana. Tulia wewe huna lako jambao thread yangu imeshajieleza kuwa nimeacha kila kitu including sms notifications hivi unadhani mie nawasiliana na wateja kwa sms tu? Wenye whatsapp tushawasiliana wenye viber tayari wenye email nishawasiliana nao wengi ambao hawajapata account ni wa JF sasa sidhani kuwa una uzalendo kiasi chote hicho cha kusamehe account eti kisa sitawatendea haki na wengine, kama una uzalendo huo zamani sana ungeacha kuropoka humu eti unaelimisha watu wasitapeliwe. Kama kweli ni mteja wangu weka Serial namba za decoder zako zote hapa hadharani basi hakuna tena PM sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom