usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

kama unataka picha ya uhakika nunueni dstv achen kelele hizi dongle mtuachie wenyewe tuliozoea vya kunyonga munjy1 endelea kuleta mambo hawa mafalaa achana nao.
WW
Wacha ungese kijana,utapeli wa hivyo vikopo vyenu utawapelekeni pabaya,tafteni kazi za kueleweka mfanye,lasivyo mwaka hauishi huu,lazima mtashkishwa ukuta.
 
Utapeli ni pamoja na kutoa maelezo ya uongo ili kurahisisha uvunaji wa fedha halamu! Mfano tangazo hili unawapa uhakika kua utendaji kazi utakua 100% wakati ni 40% tena kwa mazabe. Kuna ----- amemtaja Arselona anauza strong kwa 250k, ni bora ununea hiyo maana hamna ulaghai.

Na nyie dstv punguzeni bei siyo kujipanga kila siku kukatisha tamaa watu ....vita kubwa duniani ni dhidi ya paying tvs na lazima zitakufa tu.kwa nini dstv south ni rahisi kuliko tz?au ipo haja gani ya kumuweka. Dalali multichoice tanzania ambaye anasababisha bei ya dstv kuwa juu?kwa nini hao aljazeera na being sports ni cheaper kuliko dstv?nyie ndio wezi wakubwa
 
Last edited by a moderator:
Nitajie kifungu cha sheria katika katiba ya Tanzania kinachozungumzia hili unalolipigia debe. Ongea point kama Mnyika vile sio unapiga kelele kama Seif Sharif
Naona unajiamini sana ukidhani bongo hamna sheria za kukamata watu wanaofanya crime kama hizi, pole sana, unadhani bongo wamekaa tu wanakutazama kila siku hawajui trend ya crimes in technology zinavofanyika, this is 2014 hatuishi miaka ya nyuma, unakamatwa na unafunggwa au kulipa fine ya miaka mingi tu... Kwanza hujui kutrap signals zao kwa chombo kingine tayari umeviolate terms zao kua zinaruhusiwa kwenye mitambo yao tu, tusiende mbali hiyo tu inatosha kukukaba vizuri sana.. afu haitoshi hii system inachofanya ni kubypass kwa kutumia account za wengine, hilo nalo linakufunga kirahisi mno maana sheria inasema one account kwa mtu si kwa kila raia....

Kama unahusika na sheria afu umeuliza hilo swali acha kazi nenda katafute kazi nyingine maana hujui sheria, hii wanasema watu wa mtaani wanaojipa moyo kua watafanya crimes za kijinga wasikamatwe... Any hacking bongo yaweza kukufunga, usidhani ati hatuko advanced sana kuandika kitu kama hicho kwenye sheria...
 
Kikikata world cup nitafute nikupe tunzo yako milioni 1. Waswahili wanasema wewe ukikiponda mwenzako anaomba dua akipate. Tumieni google search muone hivi vitu vinavyosifiwa Ulaya, Marekani, Asia na Africa wapondaji wakubwa ni wa TZ kama wewe ambao hata tanesco unalipia kihalali na umeme unapozimwa unabaki kulalamika bila kuchukua hatua na ndio maana hatuendelei. Maji unalipia halali na unakaa wiki 3 au miezi mitatu hayatoki na ikifika siku ya kulipa wanakuja kukata huna hatua unayochukuwa. Ila dhambi tukifanya sisi ambao tunajitahidi kusaidia watu kulipia bei nafuu.

Inaonekana reasoning capacity yako ni ndogo sana we mpemba
unahalalisha upuuzi wako kwakuwa Tanesco na dawasco huwa wanakata?
Tanesco na dawasco kunasababu za kukata lakini vikopo vyako vinakatwa kwakua vinaiba period
Halafu uajisifu eti unasaidia watu? gawa bure basi....njaa zako ndio zimekusukuma kufanya hivi na si msaada kwa watu
 
Nitajie kifungu cha sheria katika katiba ya Tanzania kinachozungumzia hili unalolipigia debe. Ongea point kama Mnyika vile sio unapiga kelele kama Seif Sharif
i told u dude
reasoning capacity yako ni ndogo mno amii
Unaijua katiba wewe? unadhani katiba itataja kila kitu hadi vikopo vyako? katiba inatoa miongozo sheria zingine zitungwe,
inaonekana unaweza kuiba kuku na ukadai utajiwe kifungu cha katiba kinakataza kuiba kuku
 
Kumtapeli mtu ni kukulipa pesa halafu usimpatie kitu au kumuuzia mtu Cheni bandia
Jee yuko mtu alowahi kunilipa au kumlipa muuzaji yeyote kati ya hawa uliowataja then asiwapatie kile anachokiuza?
Acha kutufanya watu wote humu mafala we kilaza
ulipotuuzia G6 ulituambia acc za mwaka mzima tena kwa mbwembwe. leo unajitia wazimu umesahau
Tumemaliza miezi 6 ukabili kauli unataka tununue tena unatudirect kwa njunwa manyoko.......huu sio utapeli
uliapa na kutuhakikishia g6 haitakaa ife kama makopo mengine kiko wapi wapi sasa, kopo linaonyesha kama bahati na sibu
Acha kufanya watu wajinga ban
 
Kaka usijali hayo majina ni kitu cha kawaida hawajaanza wao walianza Wakiristo kumwita Yesu mchawi na wakafikia kumsulubu msarabani lakini hadi leo wanamfuata na sote tunamkubali kuwa ni mtume wa Mungu. Aliitwa Muhammad mchawi na kutukanwa hadi na wajomba na Ami zake na hatima yake mpaka leo tunamkubali kama ni mtume wa Mungu. So wasikushughulishe wala usibishane nao
Binafsi ni mkristo ninachoweza kusema Mungu akusamehe maana hujui utendalo
upande wa pili acha kumdhalilisha Mtume wako kwa aliotenda ukafanisha na wizi wako mkuu
Unanipa shida sana na reasoning capacty yako
unawezaje kujilinganisha na watakatifu hawa na biashara yako haramu?
tema mate chini muombe mola wako akusamehe kwa mfano huu
 
Rudi kwa mama yako akufundishe adabu vinginevyo sisi walimwengu tutakufunza....
Chunga mdomo wako kama ulinunua G6 285,000/= afu ukawauzia ndugu zako 500,000/= lazima wakupige mawe....

Mimi niko kuwasaidia wanaotaka msaada wangu ndo maana nauza Accs

We njunwa Manyoko unamsaidia nani haswa na kwa lipi? mbona mna mawazo ya kizamani hivi?
Njaa zako ndio zimekuingiza kwenye biashara hii na si kumsaidia mtu

Mpemba katuuzi g6 kadai acc mwaka leo baada ya miezi 6 zimesizi ukimuuliza analeta longolongo, mwisho wa siku anakwambia oh muone njunwa manyoko akuuzie acc nyingine

Yaani huu ujinga wenu ndio mnaita kutusaidia?

NB sifanyi biashara za njaa njaa kama zenu za kitapeli hadi nitapeli ndugu yangu, ametumia g6 only for one month dude likabuma mazimaaaa, kila siku mnakuja na hadthi mpya
 
munjy1 anajifanya mjuaji wa sheria, technology, yani kila kitu ye ndio fundi dunia hii na anaona sisi mabwege sijui mana majibu yake yanaonyesha dhahiri kabisa ila utapel unamwisho na ni laana kuchukua ela ya mtu na kumuacha analalamika. kinawasingzia wachna wachna hana lolote anasoma update kwenye page ya facebook kinakuja huku eti nawasiliana na wachna. hiki kijamaa mi hiki .....
 
Wewe hiyo page ya facebook umeijua kupitia kwangu. Plus mimi hiyo page nakuruhusu nitafute katika ile page ya fb kama utanikuta maana wameni ban karibia miezi minne sasa kwakuwa nawaelewa wale ni akina nani. Kazi kwako wewe sasa.
Yaani ukitaka kupima hasira za wa TZ ingia JF
 
Last edited by a moderator:
Huyu njunwa wamavoko anafafanua kwa busara utadhani biashara hii ni yake kumbe ni mdau tu....mkuu munjy1 jifunze lugha ya staha na ujitahidi kujibu hoja maana wengine sio wateja wako ila lugha utumiayo na customer (s)care yako inaweza kutuvuta au kutukimbiza.
big up njunwa wamavoko
Boss wamavoko anastahili pongezi zote as per munjy1 alisema hatakomment kuhusiana na hivi vidude ndani ya JF ndio maana sichangii sana kuhusu utendaji wake kupitia humu.
 
Last edited by a moderator:
Naona unajiamini sana ukidhani bongo hamna sheria za kukamata watu wanaofanya crime kama hizi, pole sana, unadhani bongo wamekaa tu wanakutazama kila siku hawajui trend ya crimes in technology zinavofanyika, this is 2014 hatuishi miaka ya nyuma, unakamatwa na unafunggwa au kulipa fine ya miaka mingi tu... Kwanza hujui kutrap signals zao kwa chombo kingine tayari umeviolate terms zao kua zinaruhusiwa kwenye mitambo yao tu, tusiende mbali hiyo tu inatosha kukukaba vizuri sana.. afu haitoshi hii system inachofanya ni kubypass kwa kutumia account za wengine, hilo nalo linakufunga kirahisi mno maana sheria inasema one account kwa mtu si kwa kila raia....

Kama unahusika na sheria afu umeuliza hilo swali acha kazi nenda katafute kazi nyingine maana hujui sheria, hii wanasema watu wa mtaani wanaojipa moyo kua watafanya crimes za kijinga wasikamatwe... Any hacking bongo yaweza kukufunga, usidhani ati hatuko advanced sana kuandika kitu kama hicho kwenye sheria...

Sheria ingelikuwa sisi ndio watengezaji wa hivo mnavyoita vikopo au tunashiriki kuviprogram vikaweza kubypass au tuna server. Sisi ni wanunuaji na wauzaji unajuwa sipendi kubishana na wajinga na ndio maana natoa majibu ya kijinga na mifano pia ya kijinga ili nijiweke katika level yako mjinga.
 
UKIIGA TEMBO KUNYA BOGA UTACHANIKA sehemu ya Kunyea......contact 0715044899 for FREE INTERNET
www.facebook.com/munjy1
skype: munjy1

Hiyo ndo kauli mbiu/swaga/slogan/motto ya mujy1 Kenywe page yake mtafuta Umilionea kwa kuibia wapendwa, kwa asiyefikiria mara 2****
ATAKUNYEA Tena kasema mwenyewe sasa haina haja ya kulumbana wakati muuzaji kasema usifuate biashara yake maana ATAKUHARISHIA kama si KUKUNYEA, mwacheni atafute wajinga mwisho wa siku wakamchome kama walivyofanyiwa Panya Road/Mbwa mwitu
Ila kumbuka kila jambo lina MWANZO na MWISHO......

Huyu njunwa wamavoko anafafanua kwa busara utadhani biashara hii ni yake kumbe ni mdau tu....mkuu munjy1 jifunze lugha ya staha na ujitahidi kujibu hoja maana wengine sio wateja wako ila lugha utumiayo na customer (s)care yako inaweza kutuvuta au kutukimbiza.
big up njunwa wamavoko
Sawa nimekusikia kiongozi nitaimarisha customer care.
 
Last edited by a moderator:
UKIIGA TEMBO KUNYA BOGA UTACHANIKA sehemu ya Kunyea......contact 0715044899 for FREE INTERNET
www.facebook.com/munjy1
skype: munjy1

Hiyo ndo kauli mbiu/swaga/slogan/motto ya mujy1 Kenywe page yake mtafuta Umilionea kwa kuibia wapendwa, kwa asiyefikiria mara 2****
ATAKUNYEA Tena kasema mwenyewe sasa haina haja ya kulumbana wakati muuzaji kasema usifuate biashara yake maana ATAKUHARISHIA kama si KUKUNYEA, mwacheni atafute wajinga mwisho wa siku wakamchome kama walivyofanyiwa Panya Road/Mbwa mwitu
Ila kumbuka kila jambo lina MWANZO na MWISHO......

Amiin kwa dua yako nzuri mbona mwisho umeshafika zamani sana tu wanaozielewa codes zangu washaelewa nini naongea.
 
Wewe hiyo page ya facebook umeijua kupitia kwangu. Plus mimi hiyo page nakuruhusu nitafute katika ile page ya fb kama utanikuta maana wameni ban karibia miezi minne sasa kwakuwa nawaelewa wale ni akina nani. Kazi kwako wewe sasa.
Yaani ukitaka kupima hasira za wa TZ ingia JF

we mgonjwa wa akil nini page ya fb nimeijua kupitia kwako? we ndio unamonitor akaunt yangu? unayajua mambo niyapendayo na group ninazoadd? we jamaa hv mzima kweli? hakuna nilichokijua toka kwako zaid ya tabia yako ya utapeli tu acha kujifanya mjuaji mkuu. WE JAMAA UTAPELI WAKO NAHISI UMERITHI.
 
Sheria ingelikuwa sisi ndio watengezaji wa hivo mnavyoita vikopo au tunashiriki kuviprogram vikaweza kubypass au tuna server. Sisi ni wanunuaji na wauzaji unajuwa sipendi kubishana na wajinga na ndio maana natoa majibu ya kijinga na mifano pia ya kijinga ili nijiweke katika level yako mjinga.
Unaniita mjinga, lakini wewe ndo mjinga kushindwa kunielewa.. South africa walikamatwa wote, tuseme na waliowakamata nao ni wajinga tu... huwezi nambia utamuuzia mtu king'amuzi kiko cracked tyr, haviji hivo laIma umfanyie settings, na hata kama vingekua vinakuja cracked kuuza kitu illegal ni illegal... we unaweza ukauza madawa ya kulevya ukaachwa ati kisa si mtengenezaji?
Mjinga kweli we jamaa, afu mjinga mbishi, ndio maana unafanya pity jobs for survival, utajaribu kila njia kuonyesha wat you are doing is right ila its not right in ANYWAY... DStV bongo wamelala tu ndio bahati yako, zaidi ya hapo huna pa kuchomokea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom