Kumbe rcva zenyewe miyeyusho! Asante kunitahadhalisha
Kaka Ibra lazima ujue kuna watu categories tofauti kuna wengine wanaacha Premium ya DST> kuja kuendekeza hivi vidude na kuna wengine watumiaji wa startimes unaamua kufunga hiki kidude....
Kumbe kwa yule aliyezoea premium akifunga hiki kidude lazima hakione magumashi....ila ukweli kuna wengine wanavi-enjoy mfano mimi naki enjoy maana sitegemei kufunga DST> ya makaburu mpaka nakufa nenda kwenye forums za Facebook uone watu walivyo ridhika na hali hiyo...
Hivo wewe fanya maamuzi kama unataka kununua nunua ili mradi wameshakwambia unaweza kuona mwezi mzima bila usumbufu lkn siku kikizima hata week we kubaliana na hali maana kitu chenyewe kinauzwa kwa hela ya kutupwa ukilinganisha na level ya enjoyment utakayo pata(neglecting frustrations kikiwa down)
Ni vizuri kuweka purchasing date na expiry date ili kuwaweka wateja wako sawa!!
Kaka hivi vidude vina account ya mwaka lakini sio kwweli kwamba mwaka mzima utaona picha there is no even 75% server uptime Guarantee
kwanini anayauza na kuyashabikia badala ya kukemea huo uchafu
Huu sio uchafu mimi nimefunga kwangu maana nina Unlimited internet na stream Bein sports zote,naweza kuangalia video youtube ila interst yangu kubwa ni IPTV sikosi match hata siku moja
Ukiwa na hivi vidude ni kuwa creative mimi kwangu nimefunga dish moja kubwa lina LNB nyingi tu moja ya DST>, nyingine kwa ajili ya channel ya IRIB ambayo huonesha soka za Ulaya maana sitaki frustration kuangalizia ball kule SS3 maana inaweza zima na pia nimefunga LNB nyingine napata Local channels bure kabisa maana ni FTA
Kumbe hivi vidude haviwezi kemewa maaana ni FTA receiver sawa na FTA kama Wiztech,Astrovox na SRT/stong decoders
Vidude vimenitesa hivi sina hamu
jamaa ana lugha tamu kweli nimenunua vikopo hivi vitatu walahi
hakuna unafuu wowte ni mateso kila siku mara seva down mara nyoko wizi mtupu
When you invade someones system expect one day you will be knocked out
Sasa nakushangaa unanua kitu cha kuchakachua bila kujua Risk side ya hivi vitu
Anywayz kuwa mbunifu itumie kuangalia FTA IRIB wanaonesha channel nyingi sana za mpiara na kombe ladunia zitakua nyingi kama sio zote
nimejipanga kununua tarehe moja
Now nimestukaaa
Kaka go ahead wasikukatishe tamaa kama hauna uwezo wa Kulipia DST> premium hivi vidude utavi enjoy na zaidi yaa yote kama umefunga dish la foot sita na kuweka LNB ya Local channels na DST> utafaidi maisha hakuna mfano vikiwa hewani utafurahi unatajenga heshima kwako vikizima unaendelea kuangalia Local channels
Isitoshe receiver za QSAT zimeimarishwa hivo huduma kuanzia leo ni nzuri kuliko maajabu
usifate maneno ya watu take risk hautopoteza chochote maana ni MPEG4 ya kisasa inaweza kuweka BISS Keys,CCcam.Newcamd/Mgcad unaweza kuangalia IPTV na youtube na yOUPORN ni wewe kuwa creative
Mkuu usinunue huo uchafu mkuu bora uende DSTV kuliko hivyo vidude vya huyo tapeli @munjy
Kila mtu kapewa akili na utashi kwa nini umkatishe tamaa mtu mwenye nia
Zaidi ni wewe kumuonesha DARK side pia na kumuonesha POSITIVE side ya hivi vitu na sio kumshika mfukoni kwa hela yake....
Unapovamia system ya mtu e.g kuangalia dst> bila uhalali lazima utegemee na wenye AKILI siku zote kabla ya kununua nauliza anaelekezwa
Nakuhakikishieni wakati wa world cup ndio mtavitupa kabisaa maana sasa dstv ndio watakua wanabadili security zao kudisturb wezi kama hawa wachina ili watu watumie dstv
Kila siku mtaambiwa sijui server down mara maintenance mara hivi vile blah blah tu
Guyz dont west your time bora kununua star times kama ni swala la kombe la dunia wataonyesha karibu mechi zote
Likibumu atakacho wajibu huyu mkuu ni sio mimi ni wachina wakati kashatia chake mfukoni
Kaka kuwa creative kama wakenya nenda kwenye Pinned posts kule uone wakenya walivyo wabuninifu kwa nini tutegemee tu PAY TV wakati na FTA ziko tena nzuri
World cup si ajabu ikaoneshwa baadhi ya match mpaka CCTV ambazo ni FTA
Ukinunua hivi vidude lazima uwe na Alternative kama kufunga FTA ili usikatiiwe na matngazo
Hata ukiwa unajua kuset hizi ni majanga kama unabisha nunua uone.
Hivi vitu vitamu sana vikiwa hewani
Kwa wale ambao hatuwezu kulipia DST> tumeridhika kabisa
Hela niliyotoa na ninachokiona vinaendana kabisa
Kwa kifupi wewe ni msanii hakuna G6 wala njuwa mimi nawaona magumashi wote chondechonde mtajuta nishagombana na bro wangu kwa ajili ya haya madude.
K
Pole sana kwa kugombana na kaka yako lakini kwa nini haukumueleza kuwa kuingia katika sytem ya mtu kuna siku unaweza kushushwa
Mara ngapi mtu ameenda CRDB akaambiwa system iko down tena una shida kubwa na isitoshe ni jmosi labda ndo siku hiyo uko free wakakwambia urudi jumapili....
je kama system ya hela yenyewe inaenda down isiwezekane vipi kwa system ya dongle inayochakachua DST>
Mbona TANESCO wanazima wanazima umeme tena kwa mji wa viwanda kama Dar na umeme ndo mtaji wa watu wengi hapa mjini mbona tunavumilia na ukirudi tunaendelea na maisha
NO SYSTEM CAN BE 100% EFFICIENT acheni longo longo kama sio wasomi vile atimes a system must go down for better services