Kaka gazeti lako kubwa unaloliandika, ni kweli azsky G6 haipo hewani na inarudi mara kwa mara kwa majaribio ila sio kwamba ndio imekula kwako kijamla hapana kurudi itarudi tu pia kumbuka mimi ni muuzaji tu na sio kwamba ndio mwenye kiwanda China (ambao waliahidi hizo account bure) au mwenye server za Azsky Nigeria (ndio wenye kufanya hizi dongle zionyeshe) na nadhani wewe ni mgeni wa hizi Dongle na technologia ya IKS na ndio maana unalalamika sana na pia nadhani gharama za Makaburu huzijui na ndio maana unalalamika
(hivi vidude ukitumia mwezi 1 tu basi hela yako ishalipa kutokana na kulinganisha malipo ya mwezi ya kaburu 132,000tsh X12=???? sasa linganisha hiyo bei na ninachokiuza. BY the way nina record za watu wote ninaowauzia na niliowauzia wewe humo katika record zangu, nakushauri mtafute aliyekuuzia akupe njia Jinsi ya kutatua tatizo lako na sio kutumia reference za post zangu za zamani then ukajifanya kuwa mteja wangu.
Pia ushauri mwengine Hebu hiyo decoder yako kuwa unaijaribu mara kwa mara halafu urejeshe jibu kama jee imekufa 1 kwa 1 au bado inafanya kazi.
Pia kwa kuongezea kama una kumbukumbu nzuri Qsat na Azsky G6 ni product ambazo zilikuwepo Wakati 1 ila Qsat haikupata tatizo kama ilivyopata G6 na nadhani wadau wengi wanalijua hilo (Jee kuzama kwa MV bukoba utazitia sumu MELI zote kuwa ni MBOVU?) naomba nijibu suali langu. Azsky wapo katika hii game Zaidi ya miaka 5 ila inaweza kuwa uliponunua wewe ni miezi yao ambayo matatizo ndio yamewakuta (pia kumbuka hiyo decoder ni HD decoder na pia ni FTA, nakushauri mtafute
njunwa wamavoko akuuzie cccam account uingize katika G6 yako ili uendelee kufurahiya na sio kulalamika sana hadi kuwatisha wengine
Pole kwa usumbufu unaopata