munjy1
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 564
- 139
- Thread starter
- #61
DSTV bongo naona wanacheza, au wanawapotezea tu maana kumkamata mtu kama wewe wiki moja nyingi, na kutafuta wote uliowauzia na kuwachimba biti maana its illegal... Sawa DStv wana hela, lakini support yenu ndo itafanya wawepo, walipe wafanya kazi mishahara, wakuze huduma zao ikiwezekana bei zishuke... Nimekua nimeachana na utotonwa cracking system za watu, siku hizi nanunua original.. we najua njaa ndo inasumbua ila piga bac kdg acha tumie hela kufungua biashara nyingine legal ambayo haina risk ya kukamatwa... Yani ningekua msimamizi DSTV bongo ningehakikisha nchi inasafishwa..
Nitajie kifungu cha sheria katika katiba ya Tanzania kinachozungumzia hili unalolipigia debe. Ongea point kama Mnyika vile sio unapiga kelele kama Seif Sharif