usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

usifate maneno ya watu wenye frustrations na hasira zao...
mtu mwenye hasira uwezo wake wa kufikiri ni sifuri kabisa
unafikiri kuona channel 170 za dst> kwa 185,000-220,000/= ni mchezo....

Mbona receiver za FTA kama srt 4922 za kisasa zinauzwa 150,000/= na je vipi receiver ya kisasa kama QSAT ya FTA na PAY TV kuuzwa hiyo bei ni bonge la dili
Waswahili wanamsemo unasema "vyarahisi ni ghali"
Kulinganisha bei za dstv kuhalalishia matumizi ya hivi vikopo kero sio sahihi

Dstv unalipa ghali lakini unapata unacho stahiki asilimia mia
Huku unalipa kidogo full makero, mkuu tunatumia haya makopo haturopoki, ni kweli hakuna system ambayo haicrash but this shit imekua too much bana, mwezi mzima huoni ikirudi channel kibao zimepotea baada ya siku tatu server down, baada ya wiki unaona vizuri wiki moja then kinazima oooh maintance, kinarudi hewani baada ya wiki na chane kidogo, mara full scrach kinapotea wiki mwisho hakitumiki tena server down, unanunua kingine kinaanza vizuri baada ya mwezi tu mziki pale pale server down, maintenance server down maintenance. ....Nyambafu
yaani inafikia kipindi ukikikuta kipo hewani ni bahati na sibu sasa huu si usenge hata kama kinauzwa rahisi bana
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
mi nashangaa sn alieanzisha huu uzi mwingine ila anaetetea mwingine kabisa.. UTAPELI SIO MZURI. aje munjy1 mwenyewe. na kumbe mnahua kuwa ni utapel ndio mana mnashindwa tumia who is?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, Ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji, nimejifunza kitu hapa
 
mi nashangaa sn alieanzisha huu uzi mwingine ila anaetetea mwingine kabisa.. UTAPELI SIO MZURI. aje munjy1 mwenyewe. na kumbe mnahua kuwa ni utapel ndio mana mnashindwa tumia who is?
Mkuu huyu nae si ndio wale wale tu, anauza acc huyu
yaani Mpemba analeta hivyo vikopo anakwambia vina acc ya mwaka baada ya miezi kadhaa acc inaexpire ukumuuliza longolongo miiiingi then anakudirect kwa njinwa manyoko akuuzie acc nyingine
Nyabafu zao hawa jamaa, wamenigombanisha na ndugu xangu mkoa niliwanunulia g6 baada ya mwexi tu kitu kikanuka..aisee naonekana tapeli
 
Last edited by a moderator:
Waswahili wanamsemo unasema "vyarahisi ni ghali"
Kulinganisha bei za dstv kuhalalishia matumizi ya hivi vikopo kero sio sahihi

Dstv unalipa ghali lakini unapata unacho stahiki asilimia mia
Huku unalipa kidogo full makero, mkuu tunatumia haya makopo haturopoki, ni kweli hakuna system ambayo haicrash but this shit imekua too much bana, mwezi mzima huoni ikirudi channel kibao zimepotea baada ya siku tatu server down, baada ya wiki unaona vizuri wiki moja then kinazima oooh maintance, kinarudi hewani baada ya wiki na chane kidogo, mara full scrach kinapotea wiki mwisho hakitumiki tena server down, unanunua kingine kinaanza vizuri baada ya mwezi tu mziki pale pale server down, maintenance server down maintenance. ....Nyambafu
yaani inafikia kipindi ukikikuta kipo hewani ni bahati na sibu sasa huu si usenge hata kama kinauzwa rahisi bana

Kitu amabacho inabidi uelewe ni kwamba Hauwezi kutegemea Dongle pekee kama suluhisho la kuangalia TV
Lazima uwe na Back up either dongle zinazo run katika server mbili tofauti
au kama hiyo ni ngumu funga dish la FTA
Satelite iliyo cheap yenye channel za FTA nzuri ni Amos 5 walipo Ting maana hata dish la 2.5ft na lnb ya KU jumla thamani ya 40,000/= utaweza kuona FTA nzuri tu katika hiyo satelite....TBC1 na CH10 ni FTA hapo AMOS 5

Au basi waweza funga LNB mbili katika dish la dstv maana wale MULTI TV wana FTA nzuri na kuna zinazoonesha mpaka mpira na wako nyuzi karibu na DST> 28°E

Hivo kama umejidhatiti kutumia dongle kua na back up thats all

Ila kwa mimi sioni kama downtime yake ni ya kukera kiasi hicho or less hausitahili kutumia
 
Mkuu huyu nae si ndio wale wale tu, anauza acc huyu
yaani Mpemba analeta hivyo vikopo anakwambia vina acc ya mwaka baada ya miezi kadhaa acc inaexpire ukumuuliza longolongo miiiingi then anakudirect kwa njinwa manyoko akuuzie acc nyingine
Nyabafu zao hawa jamaa, wamenigombanisha na ndugu xangu mkoa niliwanunulia g6 baada ya mwexi tu kitu kikanuka..aisee naonekana tapeli

Rudi kwa mama yako akufundishe adabu vinginevyo sisi walimwengu tutakufunza....
Chunga mdomo wako kama ulinunua G6 285,000/= afu ukawauzia ndugu zako 500,000/= lazima wakupige mawe....

Mimi niko kuwasaidia wanaotaka msaada wangu ndo maana nauza Accs
 
Njunwa naona upo hapa kumtetea huyu mwizi wa Zenji
 
Mkuu huyu nae si ndio wale wale tu, anauza acc huyu
yaani Mpemba analeta hivyo vikopo anakwambia vina acc ya mwaka baada ya miezi kadhaa acc inaexpire ukumuuliza longolongo miiiingi then anakudirect kwa njinwa manyoko akuuzie acc nyingine
Nyabafu zao hawa jamaa, wamenigombanisha na ndugu xangu mkoa niliwanunulia g6 baada ya mwexi tu kitu kikanuka..aisee naonekana tapeli
Mkuu huyu Manyoko habanduki kwenye hii thread anamtetea mwizi mwenzake pemba
 
chunga domo lako na lifunike kabla sijalishiranga na kulimwagia uterezi....

Usipofunzwa na mamayo ntakufunza mwenyewe

Nina heshima zangu hapa JF hivo kua makini na lugha unazotumia...
 
Njunwa naona upo hapa kumtetea huyu mwizi wa Zenji

Nimekuja hapa kwa sababu kuna watu wawili wameni mention kwenye hii thread...

Kama unajua matumizi ya JF mtu anapoku mention unapokea notification na mtu anakua na malengo uje usome na kuchangia kinachozungumzwA

Nimekuja hapa kuwaelewesheni na hii ndo Quote yangu ya mwisho naomba mtu asini tag wala kuni quote maana nime unsubscribe katika hii thread

wenye kusikia wamesikia na kuelewa maneno yangu

-------------END----------
 
Pambaf Mkubwa wewe!!! unataka kutuelimisha mambo ya wizi kwa kutumia hivyo vidude vyenu vya kichina? watu wamewashtukia wezi wakubwa nyinyi hampati mtu tena mlizopata zinatosha
 
Ndugu zangu, ukweli lazima usemwe. Huyu munjy1 ni tapeli na muongo mkubwa sana, ninacho mlaumu ni kuwa aliahidi kua g6 zote kwake utapewa ac ya mwaka1 bure wakati huo ac alikua anauza 18k, muda wakuweka akawa anataka 40k, pia anadai anadeal moja kwa moja na wachina wakati ni muongo. Kama kweli m2 atanunua hivi v2 ni kweli ni kama kamali, pia kuna njunwa wamavoko, m2n, Paje nk wote biashara yao1 wanavuna pesa wanakuacha na maumivu, bora uweke AZAM TV kama kigezo ni mpeg4.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja hapa kwa sababu kuna watu wawili wameni mention kwenye hii thread...

Kama unajua matumizi ya JF mtu anapoku mention unapokea notification na mtu anakua na malengo uje usome na kuchangia kinachozungumzwA

Nimekuja hapa kuwaelewesheni na hii ndo Quote yangu ya mwisho naomba mtu asini tag wala kuni quote maana nime unsubscribe katika hii thread

wenye kusikia wamesikia na kuelewa maneno yangu

-------------END----------

we km haukufanya maendeleo kwa ela mlizopata mara ya kwanza basi tena. sio kileta vijimaneno hapa.
 
Ndugu zangu, ukweli lazima usemwe. Huyu munjy1 ni tapeli na muongo mkubwa sana, ninacho mlaumu ni kuwa aliahidi kua g6 zote kwake utapewa ac ya mwaka1 bure wakati huo ac alikua anauza 18k, muda wakuweka akawa anataka 40k, pia anadai anadeal moja kwa moja na wachina wakati ni muongo. Kama kweli m2 atanunua hivi v2 ni kweli ni kama kamali, pia kuna njunwa wamavoko, m2n, Paje nk wote biashara yao1 wanavuna pesa wanakuacha na maumivu, bora uweke AZAM TV kama kigezo ni mpeg4.

tena jamaa anatakiwa apigwe ban mana bado anaendeleza utapel humu huyu munjy1.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu, ukweli lazima usemwe. Huyu munjy1 ni tapeli na muongo mkubwa sana, ninacho mlaumu ni kuwa aliahidi kua g6 zote kwake utapewa ac ya mwaka1 bure wakati huo ac alikua anauza 18k, muda wakuweka akawa anataka 40k, pia anadai anadeal moja kwa moja na wachina wakati ni muongo. Kama kweli m2 atanunua hivi v2 ni kweli ni kama kamali, pia kuna njunwa wamavoko, m2n, Paje nk wote biashara yao1 wanavuna pesa wanakuacha na maumivu, bora uweke AZAM TV kama kigezo ni mpeg4.
Mkuu huyu njunwa wamavoko aka Manyoko ni bonge ya tapeli linajifanya kuwa tunamvunjia heshima hapa jamvini wanataka watuingize tena mkenge kwataarifa yao watafute kazi nyingine utapeli umefikia mwisho
 
Last edited by a moderator:
usifate maneno ya watu wenye frustrations na hasira zao...
mtu mwenye hasira uwezo wake wa kufikiri ni sifuri kabisa
unafikiri kuona channel 170 za dst> kwa 185,000-220,000/= ni mchezo....

Mbona receiver za FTA kama srt 4922 za kisasa zinauzwa 150,000/= na je vipi receiver ya kisasa kama QSAT ya FTA na PAY TV kuuzwa hiyo bei ni bonge la dili

well njunwa kuna jamaa wanamwita aselona srt anaziuza 25000, na hazina cha maana zaid ya fta na watu wanabamizwa,respect mchina umetukomboa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom