USIKOSE WORLD CUP 2014 na LIGI ZOTE ZA MIEZI YA MBELE

munjy1

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
569
170

Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,747
1,500
Kwa hiyo gharama kwangu ni:

1. Dish ft3 : Thsh 50,000/=
2. Cost ya 25 MB: Tshs 40,000/=
3. Gharama ya ufundi, ku -install dish etc.


Confirm kama zipo gharama zingine za ziada; na pia fafanua apart from hiyo uliyoitaja ds.., ni service provider yupi mwingine unaweza kupta huduma zake.
munjy1
 
Last edited by a moderator:

munjy1

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
569
170
Kwa hiyo gharama kwangu ni:
1. Dish ft3 : Thsh 50,000/=
2. Cost ya 25 MB: Tshs 40,000/=
3. Gharama ya ufundi, ku -install dish etc.


Confirm kama zipo gharama zingine za ziada; na pia fafanua apart from hiyo uliyoitaja ds.., ni service provider yupi mwingine unaweza kupta huduma zake.
munjy1
Nakujibu tu kwa ufupi but sipendelei kujibu ndani ya jamii forums tumia blog yangu kuuliza maswali ama tumia namba za simu nilizoweka katika blog ili uweze kujibiwa kwa haraka na kwa muda muafaka. By the way 25mb airtel ni tsh elfu moja na mia nane tu. Hiyo elfu 40 ni mtandao gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom