usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

Ushaur wa bure kabisa. ukiwa unauza bidhaa toa elimu ya kutosha kuhusu biashara yako. hapa ni kuainisha mapungufu yake na faida zake kabla haujapokea ela ya watu. pili acha kashfa unapojua unamakosa sababu kwel umetoa ahad za uongo nying, tatu unatakiwa kuelewa si kila unaemuuzia bidhaa yako basi anaujuz nayo ila unapompa info fulan kumbe uongo unajipotezea uamnifu tu. najua huana uwezo wa kuacha hii biashara sababu ndio inakuendeshea maisha kitu muhim kuwa mkwel ili ueleweke. sio vzur kuweka picha ya mtu mtandaon kuwa ni tapel sababu lazima anandugu, marafk na wakwe km ameoa unaweza kuwa umemuumiza sana hilo siwez kufanya sababu najua maisha ndio yamepelekea ufanye biashara km hii ila utakuja kumtapeli mtu ambae nae hyo laki mbili anaipata kwa jasho utakua umemuumiza sn sn sn. mi nishakusamehe na sitajibu lolote tena. haya tujiandae na kombe la dunia wale wakumpa mkaburu haya na wakumpa ela munjy nao haya. kila lakheri businessman.
 
Nadhani mpaka sasa wadau watakubaliana na mimi kuwa bado wengi wanataka na wanaupenda uwepo wetu na hata nyote watatu Mayu deecharity na wenzenu bado munataka huduma zangu na ndio maana munajitia kutoa msamaha kisa nimewaomba namba zenu ili niwatoe katika huduma hii kiroho safi ila mumeona hilo ni zito zaidi kuliko hizo account mnazotaka. Tatizo linakuja account zipo ila G6 bado ipo majaribioni inakuja na kukata. Na wachina walitoa ahadi mwanzo ya kutoa account bure na ndio na mimi nikaahidi hivyo ila walipobadilika nilitoa hizo taarifa na katika blog na kwa sms kuwa bei zao wamepandisha ila mimi nimezinunua na kuziuza bei rahisi na ushahidi wa hilo niliwakataza watu wote wasinilipe kwanza account hadi server zao zikae sawa, jee taarifa hizo hamkuzipokea?? Na nikasema pia server itapokaa sawa kuwa nitazipunguza bei zaidi jee pia taarifa hiyo hamjaipokea?? By the way sitaki kuendelea kuongea sana as nilivyowaambia sitaki kutowa info humu jamii forums ila waulizeni wote ambao waliokuwa wakinunua hivo vikopo nilipoanza kuleta Qsat jee siwapi warning kwanza kuhusiana na disadvatage ya hivi mnavyoviita vikopo??? Au basi tu mnapenda kila kitu kiwekwe wazi humu JF?? Jee nini faida ya hii blog yangu ya munjy1.blogspot.com na faida ya kuweka link za qsat FB page katika blog japo kuwa mimi nimeblockiwa kule?? Nimeweka zile libk ili watu wasome comments na mitazamo ya wateja wengine na ndio maana pia server zinapokuwa down huwa simuuzii mtu bidhaa yeyote ile hata akinilazimisha kuwa nimuuzie.
Nyinyi nisameheni ila mimi bado sijawasamehe kabisa kwa haya yote maana nahisi ni kama hamubebeki juu ya kuwabeba kote huko. Wengi sana wananipigia simu kuwa niwache kukujibuni muendelee tu kutoa hizo siri ambazo tunajitahidi tufanye siri jinsi ya hivi vitu vinavyoendeshwa ila badala yake mnaweka hadi sms ninazowatumia mnazileta mtandaoni kuwapa faida hao wapinzani wa wachina. Any way nahisi hata hizi sms notification nitaziondoa very soon na tutarudi ule ule ulimwengu wa Zamani mulouzoea wa no after sales support ukishauziwa ndio basi imetoka. Hakuna software hakuna kupokea sms hakuna blog wala chochote as long as sipokei lawama kama zenu. Jee wengine wote mupo tayari kwa haya niliyoandika sasa hivi????? Just kwa makosa ya watu wachache???
 
Last edited by a moderator:

Kumbe we mwenyewe unapenda ligi
Nilidhani utakua mstaarabu kwa kuona nimeamua kupotezea na hii ni kwa faida ya biashara yako lakini bado unaendeleza maneno na vitisho na kujisifu ati tunakuomba msamaha.........over my dead body
Huwezi kunilazimisha kuridhika nakitu ambacho sikuridhika
Wala kutafuta sympathy kwa wengine hakuwezi kunirizisha pia, itabaki hivyo

Deal na biashara yako mkuu hizi habari zingine basi, kila mtu katuma ujumbe umefika na umekuwa delivered

Zaidi ya hapo ni kuendelea kutaka malumbano which will not do any good kwa biashara yako, me i have nothing to lose sababu nilisha lose kitambo kwenye hili

As human being nimeona hii nishughuli yako inakupa kipato hata kama sikuridhika lakini inaonekana ni kama sasa tunakuharibia biashara yako kwa kuanika humu jf vitu ambavyo hutaki dstv na wengine wajue
As long as unawateja wako na wanaridhika na huduma zako nimeona sio fair kwao iwapo naweka hadharani labda sms zako zinaweza kupelekea mambo yakawa sio

Achana na hii habari uzi huu upotee
Msg delivered
 
Last edited by a moderator:
Msg inakuwa delivered lazima apatikana mtumaji na mpokeaji ila nitabaki kusema Unafanya Kisebu s3bu na kiroho kiko papo. Tafuta wanaojuwa Kiswahili wakutafsirie. Sebu kwa kipemba maana yake sitaki.
Tena kwa kumalizia tu kama ni tapeli basi ningkuibieni mwanzo wakati munatuma pesa hata hamunijui na mupo mikoa tofauti na mukakiri kuwa nimewafikishia bidhaa kama ni utapeli si ningesepa na hela zenu tu. Acheni ubinafsi.
 
Umeanza akili zako za kipumbaf, i dont give a dammn about ur ----ing pemba word sababu hiyo tafsiri haitanisaidia chochote
Kama akili yako imekomea hapo kuhusu tafsri ya utapeli basi rudi darasani
Umeniuzia kopo ambalo halina ulichoahidi kuwa nacho, huu ni utapeli........ period
 
Msg inakuwa delivered lazima apatikana mtumaji na mpokeaji ila nitabaki kusema Unafanya Kisebu s3bu na kiroho kiko papo. Tafuta wanaojuwa Kiswahili wakutafsirie. Sebu kwa kipemba maana yake sitaki.
Tena kwa kumalizia tu kama ni tapeli basi ningkuibieni mwanzo wakati munatuma pesa hata hamunijui na mupo mikoa tofauti na mukakiri kuwa nimewafikishia bidhaa kama ni utapeli si ningesepa na hela zenu tu. Acheni ubinafsi.

ila kwa hapa uaminifu wako ulidhihirika wazi mzee wa quad...
 
mkuu kama kula ushakula sn sio uungwana huu na maisha sio uongo, dhuruma na utapeli. mimi ni muhanga wa hv vidude vyako nilinunua rcva za azsky 5 na moja ikiwa kwangu kipind unauza tsh 280,000/= ila toka mwezi wa kwanza hazifanyi kazi na ukasema tununue akaunt hata km hazijaisha sababu miez hii zitakua gharama watu tukajitoa tukanunua nikanunua akaunt tsh 42, 000 bado haitosh ukasema tusijal dstv wana upgrade sever mwezi wa pili itakua poa lakn mpaka leo kimya.. na ukumbuke unavyotuuzia ulisema hz rcva hatutalipia mwaka mzma ya akaunt ya miez sita ikiisha unatupa nyngne ya bure kwa miez sita tena kukamilisha promc lakn hukufanya hvyo na ukatuuzia tena. kiukwel kwenye ukwel ntasimamia ukwel, hz rcva zlifanya vzur sn mwanzon na kwel uliuza sn lakn mkuu sababu tulinunua kwa hiar yetu sisi Tunashkuru coz kwel tulipenda vya bei nafuu ila nachokuomba usiwalaghai wengne kisa umeona kombe la dunia ukataka nao waje kulia zaidi yetu. kilio cha wengi na pesa ya namna hii ht ukifanya mambo mazur kwa maendeleo yako ipo siku vtapotea kaka. tafuta ela kwa njia ambayo hakuna wakukulaumu ili wote waridhke hii biashara haina tofaut na utapel sababu sasa hv umekua kimya kuhusu hz rcva na sasa unawapiga watu kupitia qsat kisa ndio znafanya kazi lakn maisha sio mepes. kwa ushaur wa bure ela ulizopga sasa fanya biashara halal itakutoa tu. na km siku nyingne kuwa mkwel kuwa jaman nawauzia hii bidhaa lakin inaweza kuwa sio deal wakat wowote ili watu wanavyoingza ela wajue kuwa ni km bahat nasibu. mimi sijutii kununua sababu ela ndio ishaenda lakin wale walionpa ela zao nikawaagzia ndio tatzo wananiona muongo, muhun, tapel wakat nilikua naheshmiana nao ila nao siwalaumu sababu hawana kosa ni haki yao kudai chao na mmoja ndio kanibwagia rcva anataka ela yake nishalipa nusu sasa nalipa deni ambalo ni mara mia ningemnunulia mama angu kitenge. sio maisha kabisa kaka lakn amin usiamn kila jambo huwa na kikomo mi nashaur mtu asie na uwezo wa dstv awe mpole haya makopo mazur kwa mtu mtundu wa mambo haya otheryz utalia zaid yangu labda uwe na kihenge cha fedha.

ahsante kwa info
 
Nadhani mpaka sasa wadau watakubaliana na mimi kuwa bado wengi wanataka na wanaupenda uwepo wetu na hata nyote watatu Mayu deecharity na wenzenu bado munataka huduma zangu na ndio maana munajitia kutoa msamaha kisa nimewaomba namba zenu ili niwatoe katika huduma hii kiroho safi ila mumeona hilo ni zito zaidi kuliko hizo account mnazotaka. Tatizo linakuja account zipo ila G6 bado ipo majaribioni inakuja na kukata. Na wachina walitoa ahadi mwanzo ya kutoa account bure na ndio na mimi nikaahidi hivyo ila walipobadilika nilitoa hizo taarifa na katika blog na kwa sms kuwa bei zao wamepandisha ila mimi nimezinunua na kuziuza bei rahisi na ushahidi wa hilo niliwakataza watu wote wasinilipe kwanza account hadi server zao zikae sawa, jee taarifa hizo hamkuzipokea?? Na nikasema pia server itapokaa sawa kuwa nitazipunguza bei zaidi jee pia taarifa hiyo hamjaipokea?? By the way sitaki kuendelea kuongea sana as nilivyowaambia sitaki kutowa info humu jamii forums ila waulizeni wote ambao waliokuwa wakinunua hivo vikopo nilipoanza kuleta Qsat jee siwapi warning kwanza kuhusiana na disadvatage ya hivi mnavyoviita vikopo??? Au basi tu mnapenda kila kitu kiwekwe wazi humu JF?? Jee nini faida ya hii blog yangu ya munjy1.blogspot.com na faida ya kuweka link za qsat FB page katika blog japo kuwa mimi nimeblockiwa kule?? Nimeweka zile libk ili watu wasome comments na mitazamo ya wateja wengine na ndio maana pia server zinapokuwa down huwa simuuzii mtu bidhaa yeyote ile hata akinilazimisha kuwa nimuuzie.
Nyinyi nisameheni ila mimi bado sijawasamehe kabisa kwa haya yote maana nahisi ni kama hamubebeki juu ya kuwabeba kote huko. Wengi sana wananipigia simu kuwa niwache kukujibuni muendelee tu kutoa hizo siri ambazo tunajitahidi tufanye siri jinsi ya hivi vitu vinavyoendeshwa ila badala yake mnaweka hadi sms ninazowatumia mnazileta mtandaoni kuwapa faida hao wapinzani wa wachina. Any way nahisi hata hizi sms notification nitaziondoa very soon na tutarudi ule ule ulimwengu wa Zamani mulouzoea wa no after sales support ukishauziwa ndio basi imetoka. Hakuna software hakuna kupokea sms hakuna blog wala chochote as long as sipokei lawama kama zenu. Jee wengine wote mupo tayari kwa haya niliyoandika sasa hivi????? Just kwa makosa ya watu wachache???

kaka yani kiroho safi nimejitoa bado unanitag hayo mambo means unajiona km umeweza sanaaaa.... we ulijifanya mpesa uko na ustaarabu sababu ulijua nini unafanya. usingetupga kipind kile sababu UTAPEL wako ni longterm ndio mana ukaanza na uaminifu. sasa sisi hatushindan ila nia ilikua ujue na kujitambua kuwa wewe ni tapel ila naona bado unanitag tena. na km nilivyokwambia we huna jeur ya kuacha hii kazi km ulivyojitangazia mara ya kwabza na ndio mana uzi wa tangazo la kuacha biashara umeufuta means bila utapel unalaza njaa familia. unajifanya jeur eti naacha biashara narud shule, shule huwez wewe kwa akil hizi utasema wapi ukamaliza salama na kupata cheti. mi nimeandka kistaarabu mwanzo mwisho ili ujurekebishe ila sasa seriously naona labda picha yako ikiwekwa jamvn hapa ndio utaanza kuwa mstaarabu.
 
Mkuu huyu mpemba anaonekana hamnazo kabisaa
Tumeamua kumpoteza kiroho safi aendelee na yake lakini anaanza kujisifu.......idiot
Hatuna cha kupoteza lakini yeye hii biashara haramu ndio inafanya yeye na familia yake wapate kula
Mpuuzi sana amenikera na majigambo ya kutafuta huruma kwa watu
Angekuwa na akili timamu angebaki kule kule kwenye kiblog chake
Kaona world cup ndio msimu wa mavuno kaja tena mbio JF wakati alisema hata post chochote kuhusu vikopo vyake hapa JF
 
Endeleeni Kuchonga na kunitusi ya kwangu Yananiendea. Period. JF watakapoona huu uzi kuwa pia unaviolate Policy zao wataufuta kama ulivyofutwa ule. Period
 
acha kutag wakat ushatudhulum we jamaa. JF hawasaidii wezi bwana naona umeanza kuchafua jukwaa sasa uko ukisubr huruma ya JF. kumbuka wewe ndio umevunja sheria kuja kutapel kupitia hapa. matus utoe wewe lawama utugeuzie vp. aibu sn na fedheha kuish kwa fedha haramu mkuu. kaa ni vijana wenzio wakupe michakato sio hadi uwe na shule ndio utafanikiwa juhud zako ndio zitakufanya ufanikiwe. sasa sio kisa nmesema juhud ndio uongeze juhud kwenye UTAPELI watakuchoma moto shaur yako.
 
Wakuu, hapa tulikua hatutafuti nani mshindi ila ilikua ni kuweka ukweli wa mambo. Naona kazi tumeimaliza na mhusika ameshajua ukweli wake, tunaamini atajirekebisha. Nawaomba wanajukwaa wenzangu deecharity Mayu, Cartoo nk tumuache mshikaji aendele kufanya yake maana aliye tusikia ametusikia. Ninacho jivunia ni kwamba hatuja mtukana mtu na hata baada ya kutukanwa hatuja jibu matusi na wala na tumeleta ukweli mtupu bila kusingizia. Ta
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni Kuchonga na kunitusi ya kwangu Yananiendea. Period. JF watakapoona huu uzi kuwa pia unaviolate Policy zao wataufuta kama ulivyofutwa ule. Period
Unaanza kutafuta Mod wakunusuru sasa
Ulipoanza kuporomosha matusi hukuliona hilo....jifunze kukabili changamoto na si kutukana watu
tumekupotezea ufanya yako unaanza kujisifu ujinga na kutu tag
Mjini kila mtu anafanya yake bana hata yetu yanatuendea vile vile
Hapa naona unataka tuende na sera ya dini yako jicho kwa jicho.......mbona unalia na mod
Acha ujinga mkuu, kama una akili piga kimya uone kama haya yataendelea
 
Wakuu, hapa tulikua hatutafuti nani mshindi ila ilikua ni kuweka ukweli wa mambo. Naona kazi tumeimaliza na mhusika ameshajua ukweli wake, tunaamini atajirekebisha. Nawaomba wanajukwaa wenzangu deecharity Mayu, Cartoo nk tumuache mshikaji aendele kufanya yake maana aliye tusikia ametusikia. Ninacho jivunia ni kwamba hatuja mtukana mtu na hata baada ya kutukanwa hatuja jibu matusi na wala na tumeleta ukweli mtupu bila kusingizia. Ta
Mkuu full respect
nimekusoma na nimekuelewa
am out
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, hapa tulikua hatutafuti nani mshindi ila ilikua ni kuweka ukweli wa mambo. Naona kazi tumeimaliza na mhusika ameshajua ukweli wake, tunaamini atajirekebisha. Nawaomba wanajukwaa wenzangu deecharity Mayu, Cartoo nk tumuache mshikaji aendele kufanya yake maana aliye tusikia ametusikia. Ninacho jivunia ni kwamba hatuja mtukana mtu na hata baada ya kutukanwa hatuja jibu matusi na wala na tumeleta ukweli mtupu bila kusingizia. Ta

ni kweli hapa imekua ligi wakat dhumuni halikua kutafuta mshindi nani, nadhan ujumbe wetu umefika kwenye hadhira acha nijitoe ktk sakata hili.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, hapa tulikua hatutafuti nani mshindi ila ilikua ni kuweka ukweli wa mambo. Naona kazi tumeimaliza na mhusika ameshajua ukweli wake, tunaamini atajirekebisha. Nawaomba wanajukwaa wenzangu deecharity Mayu, Cartoo nk tumuache mshikaji aendele kufanya yake maana aliye tusikia ametusikia. Ninacho jivunia ni kwamba hatuja mtukana mtu na hata baada ya kutukanwa hatuja jibu matusi na wala na tumeleta ukweli mtupu bila kusingizia. Ta
Mkuu hili tapeli liliniumiza sana nililipelekea watu kama kumi wote wananilaumu mimi kusema kweli labda uzi ufungwe au nipigwe ban simwachii huyu mwizi
 
Mkuu Precise Pangolin, hicho unachosema ndicho kimetufanya wengi wetu kueleza tatizo lilikua nini na ujumbe umeshafika, sasa kama ujumbe umeshafika na jamaa ameshajua kosa lake, imetosha kumfundisha kuhusu usahihi wa taarifa kwa wateja hivyo kuendelea kumshambulia tutaonekana kana kwamba sisi sio wakweli bali tunamchafua tu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Q sat na str4922 inayo tumia ccam ac ya tv1 ndo ipo poa kuliko azsky kwa upande wa ku open d***v aziteteleki na zikiyumba kidogo huakika wa kurudi upo kuliko azsky inaonekana azsky ilikuwa ni dikoda ya majaribio tu kwa wa china izi zingine za ndo kazi ilipo anza
 
Hujamtendea haki munjy1 kwa kumuita tapeli na mwizi maana hajawai kumuibia au kumtapeli mtu. Ukinumua haya madude ya kichina hayana mkataba, kila mnunuaji analijtambua hilo. Ukitaka uhakika nunua ds*tv.

Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote dhambi yao ni moja,ilikuwa kuiibia ds***v,so msitoane meno hapa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom