Vene
Member
- Oct 16, 2011
- 93
- 42
Mtasubiri sana mpaka mtachakaa na juhudi binafsi zinahitajika pia.
Hachakai mtu hapa, tena ndio tunazidi kuwakawaka tu! Hizo juhudi binafsi ndio zipi? Dadavua basi tuone.
Mtasubiri sana mpaka mtachakaa na juhudi binafsi zinahitajika pia.
Exactly!
Hachakai mtu hapa, tena ndio tunazidi kuwakawaka tu! Hizo juhudi binafsi ndio zipi? Dadavua basi tuone.
Kama wewe ni mwanaume ukimuona mwanamke uliyempenda unamwaga sera. Na kama mwanamke ukimuona mwanaume ukampenda na ukaona anakufaa unajipendekeza pendekeza ati. nk. Naamini utakuwa umenisoma.
Amina,,, i know mr right iz some where waiting for me.
Mh! Nilisikiaga kuwa mwanamke ukijipendekeza kwa mwanaume ndo anapoteza interest kabisa anakula kona!
I see, sasa kama kavutiwa na wewe na yupo availabo kuna haja ya kujipendekeza tena?kwa wengine kama amevutiwa na wewe basi ndiyo inakuwa umemloga kizungu...............
Mmmh! Kahamishe mlima Kilimanjaro ulete dar kwa Imani yako! Lol @ Obama wa bongo, haya mambo hayana kanuni mkuu, this isn't a quadratic equation japokuwa watu Wengi wanajaribu kuchora mstari wa searching zao.
I see, sasa kama kavutiwa na wewe na yupo availabo kuna haja ya kujipendekeza tena?
I wish ningekaa alone mpaka nimpate mr.right but maisha ya upweke yananishinda, tunashida sana sisi tuliokosa upendo wa baba...niliyenae ananiumiza nashindwa kumwacha just because naogopa upweke......natamani huyu niliyenae Mungu angembadilisha awe mr.right..u
si tupo kwenye maombi ya kutafuta mchumba jamaniExcellent!!! Umri wangu wa kazi gani?
rosita hata mm ckupata upendo wa baba i only enjoy his love kwa kipindi kifupi. Upweke ni kitu kigumu kukikabili lakini ukiamua unaweza by keeping ua self busy and have fun. Isikulazimu ww kuwa na mtu anayekuumiza na ukose furaha ya moyo kisa upweke.
Yes kazi inanikeep busy but u cant avoid lovr,kuna muda tu utanifeel like u need to be cared and loved.
Niliyenae anadhani kunipenda ni kunihudumia tu,but 4 me hata kama hanipi chochote coz najiweza ol I need is his true commitment and love....i hate being lonely.
Hapo awali nilidhani kuwa ni nature yake akiwa busy awezi kudeal na two thing and I decided to take it positive and understand but nikaja kugundua kuwa he can be busy with others gals na kuprove dat he cheated me.
Nakasirika tunabreak na naamua kumuacha but after certain period of tym akiendelea kuomba msamaha bcoz of my loneliness naamua nimsamehe with op kuwa atachange.
But anaclaim dat he loves me na even watu wote wanajua hivyo but its me ambae najua machungu ya uhusiano huu for three years and siwezi kutoka..nimejaribu nimeshindwa...
I wish I could have courage to do so kupenda sana kubaya..

hata wewe!!!!!!!???
basi mpo wengi..............