Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Na wengine iliandikwa wawe mapadri/nun sema wagum kuelewa
Nimejifunza kitu hapa! Kumbe wengine tuna huu wito ndani yetu? Ngoja nijiangalie vizuri mie
Na wengine iliandikwa wawe mapadri/nun sema wagum kuelewa
Ama kwa hakika naisubiri hiyo siku kwa hamu. Amen!
Amina! one day yes!
ata miye nasubiriaga tu,ipo siku nitampataga
wengi tu wapo ila kuangukia pabaya ndo ishu ndo maana tunamwomba Mungu akupe perfect one unayeendana naye
asante kwa kututia moyo na kuwatia moyo wale wanaousubiri
kwani ni kitambo tu mambo yatajipa ni kuwa wavumilivu tu
Ngoja ngoja yaumiza matumbo
mmh! kuwa na imani
she au he?
Nimemsubiri huyu miss mpaka nishachoka! Natafuta wa kumwita baby girl, honeybee, darling... jamani nisaidieni!
I am praying and dreaming for that day to come!!!
unapochoka kusubiri ina maana hauna imani tena.......soma mwanzo au kutoka....sina uhakika lakini ni kati ya vitabu hvyo viwili....sura 3:18-24.......tumia mistari hyo kuomba Mungu akupatie mke/mme
Nimemsubiri huyu miss mpaka nishachoka! Natafuta wa kumwita baby girl, honeybee, darling... jamani nisaidieni!
umri wako basi