Usikate tamaa bado hujakutana nae

Usikate tamaa bado hujakutana nae

kama anapora sijui
wanasema mvumilivu hula mbivu
kuwa mtu wa subira kwani kunalipa best
hivyo ukitaka kwa pupa utakosa yote
basi turudi kwenye kupiga magoti kumwomba Mungu eeh
 
wengi tu wapo ila kuangukia pabaya ndo ishu ndo maana tunamwomba Mungu akupe perfect one unayeendana naye

There are no "perfect" people out there, but there is someone who will make you feel good about yourself and who will make you laugh at some point in your life.....keep on SEARCHING while PRAYING...
 
Na wengine iliandikwa wawe mapadri/nun sema wagum kuelewa
 
There are no "perfect" people out there, but there is someone who will make you feel good about yourself and who will make you laugh at some point in your life.....keep on SEARCHING while PRAYING...
challenge accepted!
 
when your done rolling your eyes.tell me please
your post No.27 in accordance with my general views. just to add to it, fanya 'soul searching' ili ujue what you want in a relationship. then utampata the 'perfect man/woman'. a lot of these problems are because watu hawajui wanachotaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom