Usikate tamaa bado hujakutana nae

Usikate tamaa bado hujakutana nae

your post No.27 in accordance with my general views. just to add to it, fanya 'soul searching' ili ujue what you want in a relationship. then utampata the 'perfect man/woman'. a lot of these problems are because watu hawajui wanachotaka


the bold you remind me of my Old friend she once told me the same words.........
 
ni kukubali tu kuliko kulazimisha ku-fit kwnye mbavu zenye wenyewe.....ngumu kumesa lakini
we unajua hao mapadre mayai wanazokula?je ham wanazipunguzia wapi,shtuka.

my first ex alikuwa nun na sikumkuta virgin.
 
mbivu mpaka mbovu zote mbivu ila mbovu zimembivuka sana...akili kumkichwa....
wahenga walisema kuwa haraka haraka haina baraka

na pia ngoja ngoja yaumiza matumbo SASA ITAKUWAJE? au mvumilivu hula mbivu?
 
Namsubir na mimi pia.. Ntapenda ni aje
 
Amen, naisubiri pia hyo siku na sjakata tamaa bado hope Mungu ananiskia na atanipa hitaji la moyo wangu, ubarikiwe mleta mada kwa kututia moyo watu kama sisi
 
kama ipo ipo tu na kama haipo utapika makande kwa kibatari.
 
katika kumtafta mr/miss right unaweza mpita kwani hana kbandko hvyo kuwa makini usjeruka mkojo ukakanyage.......
 
wahenga walisema kuwa haraka haraka haina baraka

na pia ngoja ngoja yaumiza matumbo SASA ITAKUWAJE? au mvumilivu hula mbivu?
Huna haja ya kusubiria...roho mtakatifu wa bwana amenishukia na ujumbe kuwa wewe ndiye uliyeumbwa kwa ajili yangu...sema Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom